Dada unahitaji kazi?

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
16,464
Reaction score
35,629
Hello wana JF
Anahitajika dada ambaye ana uwezo wa kutumia vizuri Computer yaani Basic Computer Applications(MS OFFiCE) especially MS WORD,EXCEL, AND OUTLOOK vilevile awe ana uwezo wa kuongea kiingereza kwa ufasaha.
Awe nadhifu, mchangamfu. Age (22-25)
Kazi yake itakuwa ni kusimamia na kufanya kazi zote za kiofisi.
Ofisi hii inashughulika na mambo ya Tour and Safaris pamoja na mambo ya diving. Ofisi ipo Zanzibar maeneo ya Forodhani karibu na NBC Bank.
Kama unahitaji au una ndugu jamaa au rafiki mwenye sifa nilizozitaja hapo, nitumie PM ili nikupe info zaidi.
Shukrani
 
Kina kaka hawawezi kufanya hiyo kazi? Au ndo mchumba anatafutwa kiaina?
 
Umri umeniangusha sogeza kidogo basi jamani mbona watunyima kazi wenzio???
 
Kina kaka hawawezi kufanya hiyo kazi? Au ndo mchumba anatafutwa kiaina?

Babu Asprin! Mchumba hatafutwi kwa gia kama hii, ni kampuni ya mshikaji wangu wanahitaji mdada maana before walikuwa na dada mhindi lakini alikuwa hawajibiki ipasavyo wakamtimua na anahitajika haraka sana, sababu mshikaji anaenda ng'ambo mwezi mzima.
 
me naitwa zainab farid nahitaji hiyo kazi pls....
 
BUSHbaby acha ujuaji, PM umejuaje kama nimetuma au laaa??
 
mi naitwa Helena Sylvester. nina hizo sifa lakini nitawasiliana vipi na wewe kwa ajili ya hiyo kazi. Mimi namba yangu ya sim ni 0713233073
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…