Dada usikubali kutoa "N'nya" : Hautaolewa abadani

Sanaaaa!

Nasikia hata wakati wa kujifungua ni sheeeedah kwa mwanamke akiwa anasukuma mtoto atoke nyuma anatoa nya๐Ÿคฎ

Inahuzunisha sana
Antonia sio kweli buaanaa...

Hata wanyama wakiwa wanazaa huwa wanakunya.

Chezea kusukuma bichwa la mtoto kwenye papuchi, haswa ukute mtoto ana komwe kama langu lazima mtu aachie kimba zito.

Kwani antonia we bado hujatuletea akina ankoo??
 
Navuta picha ya mtoa mada, ikiwa ndo yeye kwenye profile yake. Basi atakuwa na kila sababu ya kuandika hivi vitu
 
Duh ni huzuni kwakweli!
Amna bana sio kweli, kunya hakuhusiani na kubomolewa sega.

Halafu ile njia ya papuchi imekaa sambamba na utumbo mpana, kwahiyo ukiwa unasukuma mtoto basi bichwa lake linaminya mavi yanatoka nje
 
Antonia sio kweli buaanaa...

Hata wanyama wakiwa wanazaa huwa wanakunya.

Chezea kusukuma bichwa la mtoto kwenye papuchi, haswa ukute mtoto ana komwe kama langu lazima mtu aachie kimba zito.

Kwani antonia we bado hujatuletea akina ankoo??

Makimba Uwiiiii ๐Ÿคฎ๐Ÿคฎ๐Ÿคฎ๐Ÿคฎ!

Weee Bichwa uko wapi huna habari zangu humu ๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿ˜

Ninao na Baba Jr na January Desemba/ January hii inshallah mola ajaalie tutengeneze mwingine!
 
Makimba Uwiiiii ๐Ÿคฎ๐Ÿคฎ๐Ÿคฎ๐Ÿคฎ!

Weee Bichwa uko wapi huna habari zangu humu ๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿ˜

Ninao na Baba Jr na January Desemba/ January hii inshallah mola ajaalie tutengeneze mwingine!
Nilitaka nikuulize swali ila naogopa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ila hongeraaa kwa kuleta akina ankoo ๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹

Sijui nikuulizee?? Kuhusiana na kuzaa.
 
Niachendugu sijui hata Apr wametufanya nn like kvz like....haapa nasimakisha boda hazisimami nirudi chumban ..huu uwanja kama chamazi laana zake
Jifunze kuandika, ama upunguze kiherehere cha kuandika hovyohovyo kwenye kila mada, ili uufiche huo ujinga wako.
 
hii nilipata fununu yule professor aliyeimba pete kutoka kenya alikuwa akitembea nacho akiikumbuka n'nya ananusa kama ugoro.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Nilitaka nikuulize swali ila naogopa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ila hongeraaa kwa kuleta akina ankoo ๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹

Sijui nikuulizee?? Kuhusiana na kuzaa.
Afu Bichwa Komwe kumbe una akili huwaga unajichetua tu hahaha!
Kuna muda unakomenti madini kinoumaaa midamida sasa๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Uliza tu!
 
Afu Bichwa Komwe kumbe una akili huwaga unajichetua tu hahaha!
Kuna muda unakomenti madini kinoumaaa midamida sasa๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Uliza tu!
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ sijisifu ila akili za kuvukia barabara ninazo Antonnia.

Kwahiyo sasa ndo kusema kwamba ulipokuwa unajifungua hukutoa tukimba hata kidogo? Samahani lakini
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ sijisifu ila akili za kuvukia barabara ninazo Antonnia.

Kwahiyo sasa ndo kusema kwamba ulipokuwa unajifungua hukutoa tukimba hata kidogo? Samahani lakini
Haha wee mwehu ujue hahaaa! Sijatoa
Hata chembe

Hebu mambo yako nikuachie mwenyewe!
 
Wewe jamaa ungekuwa karibu yangu ningekuzaba makofi Daydream
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ