muulize kama ana facebook page
kama anayo unam add halafu kila ujinga atakao post
unaweka likes na ku comment kama ni jambo la maana saana lol
Habari za jioni wana jamvi. kwanza natanguliza samahan kama kutakua na watu nitakao wakwaza. msichana kama amempenda mvulana ruhsa kutiririka, hebu tiririkeni njia (mitego)mtakazo tumia, angalizo mpo mikoa tofauti. na je wavulana (wanaume) mnapenda mtokewe na mwanamke kwa jinsi gani?
Naomba fesibuku ID yako!

inategemea kama mko level gani ya kujuana, kama tayari anakufahamu unaweza kumtumia zawadi yoyote ile na ka ujumbe kadogo ka kawaida tu. Kwa mwanaume barubaru {kama yours truly, of coz} atajua tu kuwa kuna 'interest' imekuwa declared hapo.
kaka sio rushwa, ni gesture tu ya 'goodwill' potentially with 'future benefits'..lol! unamfundisha sasa aanze kutoa hongo eeh! 🙂
Mi nitakutimua kama ubwa koko,nikikuhurumia sana nitakuambia nimewowa na nina mtoto so siwez mcheat my wife.kamwe cwez ruhusu mwanamke antongoze apo c ataniwowa
Cjui nina gundu mbona cjawahi kutokewa na mrembo!! na ni veterani sasa .......mrembo nitokee mimi basi.
Wewe ni veteran wa kuchakachua.......kabla hajakuanza tayari umeshamtongoza....Wakati mwingine jifanye saint utatongozwa tu.
Ninamwambia nampenda na ningependa awe onenightstand/buzi/hawara/mpenzi/mume (kata kisichohusika) depending on my mahitaji!
mi nitakutimua kama ubwa koko,nikikuhurumia sana nitakuambia nimewowa na nina mtoto so siwez mcheat my wife.kamwe cwez ruhusu mwanamke antongoze apo c ataniwowa