Wewe ni veteran wa kuchakachua.......kabla hajakuanza tayari umeshamtongoza....Wakati mwingine jifanye saint utatongozwa tu.
Mh! we mkare mkuu!! ngoja nijaribu kuapply genaral fomular yako!! ....... hiv umukuluthumu alikutokea ee?
Ninamwambia nampenda na ningependa awe onenightstand/buzi/hawara/mpenzi/mume (kata kisichohusika) depending on my mahitaji!
muulize kama ana facebook page
kama anayo unam add halafu kila ujinga atakao post
unaweka likes na ku comment kama ni jambo la maana saana lol
Shhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!
Easy, kamtembelee kwake haswa kama anaishi getto au peke yake. Kama mimi akija demu kwangu hata kama nimeoa na nina watoto 20 simuachi.
Kwa kujipitisha pitisha ili akuone kila inapowezekana kufanya hivyo na kuwa na uchangamfu wa hali ya juu na tabasamu za kufa mtu mpaka somo lieleweke.
Naunga mkono hoja.
muulize kama ana facebook page
kama anayo unam add halafu kila ujinga atakao post
unaweka likes na ku comment kama ni jambo la maana saana lol