dada utamtokeaje mvulana uliyempenda?

Ka ww demu umejazia nyuma vaa transparent
chupi ionekane nyuma kunatingishika then pita karibu ya dume unayem date ATAKUITA FASTA.....

Tahadhari.... angalia usiwe uchi vaa transparent kwa mbali mchana, usiku mjie na kanga moja laini jitingishe....
 
unakuwa na uchangamfu wa wafungwa kujipitisha kwa sana salamu hata mara kumi kwa siku kanga moko mara ianguke mara inaonyesha macho yasio tulia kama umekula kungu atapatikana tu jitahidi dada
 
Da hii inanikumbusha nilivyopataga tabu kwa Classmate wangu A level,na sikuweza kumwambia mpaka tukamaliza shule na mara nyingi alikuwa anapenda kunitania ila hakuwahi
kujua kabisa.R nakutakia maisha mema huko uliko.
 
nilijua na mimi nilijikausha lol
 
Humwambii, unasubiri mpaka "Mungu amuonyeshe mke mwema" akuone :redface:
 
dah...! Huyo alikuwa na hisia za kimapenzi japo mlikuwa bado wadogo.
 
body language!!!! mwili unazungumza sana kuliko mdomo hasa kukiwa na hisia za ukweli!!!!
 
Nawaomba wanawake wasiwe na hofu, wawe huru kutuambia hisia zao mbona sasa tupo sawa (gender balance) na isitoshe wanawake wanaweza tena hata bila kuwezeshwa. Wenzenu wa Nchi ya India wakimpenda mwanaume wanamtokea kwao na ikibidi hata mahari wanalipa wenyewe au hamjui kuwa baadhi ya wanaume domo zege bhanaaa.

Kinamama oyeeeeeeeee, tiririkeni jamani mtupe haki zetu.
 
Mi nitakutimua kama ubwa koko,nikikuhurumia sana nitakuambia nimewowa na nina mtoto so siwez mcheat my wife.kamwe cwez ruhusu mwanamke antongoze apo c ataniwowa

Baba koku hapo umesemaa.... wakola waitu!!!
 
Hata kama alikua anakupenda kiduchu basi ndio utampoteza kabisaaaa
 
Tatizo lipo kwenu wanaume zetu wa kibongo. Hata kama hujampenda akikutokea hautataka kuonekana mzembe(hisia tu) atataka japo agonge halafu asepe... Baaaadae ndio inakuja story ya am sorry sikukuambia mapema am in relation sijui bla bla...
 
Da Pretty sio hivyo kama ujuavyo sisi kwenu tunavutwa kwa kuona zaidi na kuunda taswira ya uhondo ndani ya ubongo tofauti nanyinyi wenzetu, sasa linapokuja swala la nani aanze kwanini msiwe huru kuanza hayo mengine unaweza kumweleza ukweli asubiri mpaka ndoa ukiona hawezi kusubiri basi huyo si chaguo lako.
Tabu yenu baadhi ya kina dada wa siku hizi first meeting lazima champagne ifunguliwe siku hiyohiyo, kwa nini asikimbie maana wahenga wa kizungu walisema easy come easy go.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…