DADA WA AINA HII KAOE

DADA WA AINA HII KAOE

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
*Zama hizi ikitokea ukawa na uhusiano na mdada ambaye simu yake haina kuchora pattern wala password kwenye kuifungua basi NENDA KWAO UMUOE HARAKA SANA!*

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kaweka line mpya huyo mkuu amekuja kukutega
 
hata kama hajaweka slide to unlock ila password zake nazijua vipi nioe
 
*Zama hizi ikitokea ukawa na uhusiano na mdada ambaye simu yake haina kuchora pattern wala password kwenye kuifungua basi NENDA KWAO UMUOE HARAKA SANA!*

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweeli kabisa ila hawa wenye simu janja zenye kuchora password kama utandu wa buibui...mmmhh sio kabisa
 
Back
Top Bottom