Dada wa Damu!

huo ni utoto akikua ataacha,nina uhakika kabisa huyo jamaa yako hata 18 hajafika.
 

AL,

- rafiki yako an umri gani na dada zake pia wana umri gani?
- yeye ni mtoto wa kiume pekee kwenye hiyo familia?
- rafiki yako anaishi na dada zake na wazazi wake nyumba moja?
- huwa anaota anawa-do randomly? leo asha kesho amina keshokutwa sikujua?
- rafiki yako anafanya kazi(self/employeed) au ni mwanafunzi wa sec/college?
- ki-ujumla maisha yake yakoje? outgoing au ni mtu wa kutizama tamthilia kuanzia saa 12:00 mpaka 6:00 usiku?

Ndoto zake sio nzuri kwa maisha yake - Inawezekana kabisa "mababu" zake wanamkabidhi "ulezi" kwa dada zake out of which yeye atakuwa anategmewa mpaka wajukuu wa dada zake! He will die "poor"!
 

You real are a Great Thinker, I admire you. Thanks again. I hope this will help a lot. Wish you the best. Stay blessed sweet.
 

- Sorry, una maana ipi unaposema anakabidhiwa ulezi na mababu zake?
 

-Umri wao ni around twenties.
- Ndiyo.
- Ndiyo.
- Ndiyo.
- Self employed.
- Sio outgoing na ndiyo ni mtazamaji tv mzuri sana.
 
jamani mbona watu wanaota ndugu zao wamekufa je ina maana walikuwa wanawazia kufaa........ hii inaweza kuawa
ndoto mabaya tu. Mwambie atafute mdada anayefanana na dada zake kama anawawazi, nshaona hii somewhere
 
Hilo jamaa vivu la kusaka mademu mwishowe linajikuta linawamezea mate dada zake. Mshauri achangamke aache uzembe mbona mademu wa kumwaga tu dunia hii????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…