Dada wa Kikenya kampa Rais wa Ufaransa vidonge vyake bila kumung'unya maneno


My guy jichunguze, hauko sawa kwasasa.
yaan unahisi nimepata aibu kwa kupinga upuuzi uliopost? kwa vipi labda?.
ni mara ngapi ulikuwa unamkosoa Magu, Je ulipokuwa unamaliza kumkosoa ulikuwa unapatwa na aibu? ni kwanamna ipi hasa ulikuwa unapatwa na hali hii? kwangu mimi naona ni jambo lisilowezekanika, yaan nimkosoe mtu then nipate aibu!!.
nimepatwe na aibu kwasababu Malcom kasema nimepata AIBU!!! 🤣🤣🤣 Kweli leo Rumi imetikiswa na Mkoma.

hii inawezekanaje? niseme kwamba swala la aibu ni hisi a zako dhidi yangu, unaweza hisi chochote kuhusu mimi na ilo halinihusu.
hata mimi hapa nahisi FIKIRI yako ina kasoro kwasasa.
MALCOM yule Great thinker si huyu alipost utumbo.
yote katika yote unabaki ndani ya 5 bora ya members ninaowakubali hapa jf.
 
Congratulations, you are the fifth person to have made it to my Ignore List....
 
Huyo dada kaongea vitu muhimu sana ,km uhusiano kati ya ufaransa na africa ambao haupo sawa yani ufaransa wanakua wanyonyaji zaidi kwa nchi za kiafrika na madhara ya ukoloni kwa nchi za afrika.

Mambo km demokrasia isiyo ya vitendo kwa sera ya nje ya ufaransa nalo kalielezea vizuri.

Lkn makosa yake, ni km ifuatavyo.

1. Kavaa kimuonekano wa kihuni ,kitu ambacho kinamfanya aonekane hana official aura.yani hayupo official zaidi katika tukio lililo official.pia,kajitoboa na kuweka vipini mdomoni,hii inatoa picha ya body language yake kua haipo official na smart.

2.kakazana zaidi kuelezea madhaifu zaidi ya uhusiano wa ufaransa na africa ambayo kiukweli nakubaliana naye ,lkn hajaelezea zaidi faida hata kidogo ambazo ufaransa imesaidia nchi za afrika km misaada ya mikopo nafuu,ushirikiano wa kijeshi na kupambana na makundi ya kigaidi eneo la sahel,kampuni mbalimbali zilizowekeza katika kilimo na viwanda na mengine mengi.

hili linatoa picha kua ufaransa haija fanya jambo lolote la faida kwa nchi za afrika,kitu ambacho sio kweli.

3.sijaona akiongelea ni jinsi gani anadhani ufaransa inaweza saidia vijana wa afrika kufaidika na uhusiano huo.hajatoa solutions za nini kafanyike kuufanya uhusiano wa afrika na ufaransa uwe na faida zaidi.


Yote kwa yote,rais Emmanuel macron kaonyesha anataka kuunda njia mpya ya mashirikiano kati ya afrika na ufaransa na kuwapa fursa vijana wa afrika kuzipata fursa ambazo ufaransa inazileta afrika na pia,anakubali kwamba uhusiano huu ulikua mbovu na umeleta madhara zaidi kuliko faida na ni muda wa kuanza upya.

Na huyo mkenya,kaongea vizuri sana na kawasilisha maoni ya vijana wengi jinsi wanavyo iona ufaransa na wanavyoichukulia.
 
Mkuu.kulikuwa na ulazima wowote wa kumuita "LIDADA LIJINGA"??
 
Chief, sometimes is very impossible to air your opinions without to use weird language like this. i was wrong, but nina amini dada alistahili kutukanwa ama kukosolewa kwa namna yoyote.
Fair enough, your entitled to ur opinion, but i don't thing you have a right to use offensive language against someone, in the name of opinion...
 

Niliisikia hii speech !! Macron alikua akishikq kichwa!!

Machawa wamemind
 

Wewe ndyo lipumbavu unadhani hivo ambavo mabwana zako wanataka udhani!!

Western “ wanahakikisha kua waafrika wanaamini kua matatzo yaliyoko africa n kwasababu ya ujinga wao , hilo moja!

Na kwako wamefanikiwa!!

Unadhan n viongoz wangap wanajaribu kubadili mambo wanakua assasinated, au kudhoofishwa
Nadhani hujui kitu kinaitwa REGIME CHANGE,,,,
Hujui anae fund terrorism
Hujui anae fund upinzan wa kupinga kila kitu
Hujui waliomtoa gadaf madarakan
Hujui wanao zitia nchi masikini kwene madeni

Mzee kama hujui cha kuchangia usije na mawazo yako ya shule za vidudu hapa
 

Dahh,,hakuna 2kio lililoniumiza kama la gadafi kuuawa,,,amezalilishwa sana adi kupelekea kifo chake,,na viongozi wa afrika kimyaa kama hakujatokea chochote. Wanahofia kukatiwa misaada ama!!!!


My best president ever in Africa "GADDAFI" ki2 kizuri hakidumu.
 
Like Notorious B.I.G once said in his infamous Juicy, "If you don't know, now you know Nigger"
Hizi kelebu akatafute daktari!!!
===
Lakini mkuu, mbona tukiwaita hawa jamaa makupe, mabeberu, wanyonyaji mnakasirika kiasi cha kwenda mbali na kutuita washamba ...!? Naambiwa tunakodi "mercenaries" kwenda tupigania taswira eti iliyochafuliwa na maneno yetu haya.
 
...Ufaransa ni moja ya nchi inayonufaika pakubwa na makoloni yake ya zamani.
..japo imejiweka mstari wa mbele kama mshirika wa maendeleo na mdau wa kudumisha usalama Africa (Sahel).
 

Nonsense
 
huyu dada sio ndio yule siku za nyuma alisema haupendi mwili wake kwa vile ashawahai kubakwa??

ana ujasiri na confidence ya ajabu viongozi wa Africa wana la kujifunza hapa wasiendekeze njaa wasimame kwenye ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…