Dada wa Mwai Kibaki na mwanae : Nini siri ya kufika umri huu

Kuna uzi humu jamaa anasema kuishi umri mrefu pia hutegemea na dna ya ukoo wenu, kuna watu koo zao huishi miaka mingi ilhali wengine hufa mapema.

Niliiamini hii nadharia kwa kiasi chake, chunguza koo yako kama kuna wazee waloishi miaka tele basi weye na kizazicho si ajabu mkaishi miaka tele,
 
Wana hela Tena ngazi ya utajiri Sasa wanwezaje kufa kizembe?
Kumbuka umasikini ndo chanzo Cha vifo vingi Duniani
Michael Jackson alikuwa masikini!?
Kumbuka kifo sio lazima ufe kwa njaa au maradhi tu, kuna ajali pia.

Umri mrefu ni majaliwa tu ya M/Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…