DADA WA SIKUHIZI !

DADA WA SIKUHIZI !

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Dogo taratibu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Piga chini huyo au nipe namba zake nimpe seminar elekezi
 
d9871fa478d9ca478826ca27c4525260.jpg
nimeona nipost na kapicha kidogo..kuweka msisitizo
 
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57] YAAN WADADA WA SIKU HIZI BHANA, UNAKUTA YUKO BAFUNI ANAOGA HALAFU NYWELE KAZIACHA CHUMBANI... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji125][emoji125]
Haahahahahhahahahahhahhhha Ila hako ka tabia sina siku hizi baada ya kunyoa uparaaaa!!!
 
ngoja nicheke kama kule kwenye "uso wa kitabu"
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Utumwa wa kisasa, ni wa Akili sana. Usipo-focus mbele zaidi unaishia kubaya saana.
Sijui Nani kawaroga?
Malikia wa Nguvu aliwashauri wadada, wawekeze kwenye Kilimo na Ujasiriamali Badala ya kuwekeza kwenye Mwili.
Samahani kama nimewakwaza.
 
Back
Top Bottom