uwezekano wa kukamua upo. lakini sasa ninachokijali zaidi ni urafiki wetu na jamaa myangu. akisikia itakuwaje?Kamua bana we vipi wewe unakuwa ka sio kinega? aggggghr
kama ananipenda kiukweli basi inawezekana kwa kiwango kidogo. labda anachokitaka zidi ni kummega. ila duuuuu.Inawezekana anakupenda au anakutega ummege....Amua kuzungumza nae. Then utapata jibu kamili.... Na juwa kwamba ukimmega ukamuacha huyo friend wako akijua udugu utaishia hapo. Makaka wengi hawapendi kusikia rafiki zao wana mahusiano na wadogo zao...Tafakari bro!
Mkuu mara nyingi matatizo ni yetu wanaume kufikiri tunategwa, mara nyingi tunajudge vibaya, na mara nyingi nimegundua ni sisi ndio tunawataka hao mabinti , kumbuka sasa ni miaka 12 na nina uhakika umeshuhudia kukua kwa huyo Dada ni mdogo wako, ninavyofikiri anakuheshimu na kukuona kaka yake. Ila kwavile umeshamuweka katika hali hiyo, kila kitu utakitafsiri hivyo na hiyo ni hatari, achana na mawazo hayo na tafsiri hizo, hakutegi chochote hapo, ni tamaa tu Mkuu.Nina rafiki yangu ambaye sasa ni kama ndugu kwa sababu nimeshikamana nae kwa takribani miaka 12 sasa. Ana dad yake (mdogo) ambaye anatumia mamna nyigni sana kunitega nimbatue. lakini ninajitahidi sana kuvumila nisitumbukie huko. lakini hali bado ni mbaya sana mitego imezidi kipimo mingine ni ya wazi. sijue nifanyeje.