Dada ya Rafiki yangu ananitesa nifanyeje?

Pole kaka,endelea kuishinda tamaa,mface huyo bint na umwambie hupendi hiyo tabia na ww ni kaka yake,achana na mawazo ya kingono ngono.
 
uwezekano wa kukamua upo. lakini sasa ninachokijali zaidi ni urafiki wetu na jamaa myangu. akisikia itakuwaje?

Akijua ndio urafiki basi tena, si unajuua jinsi wanaume msivopenda dada zenu wamegwe, tena na rafiki yake. Ungekuwa wewe uakuja jamaa kamega dada yako ungefanyaje?
 
Ha Ha ha haaaaaaa

JF is never boring...
 

Mtihani mkubwa huo kaka! Mweke mungu mbele na atakuongoza njia ipi ufwate. Bila nguvu za mungu huwezi kuushinda mtihani huo!
 
Hiyo ni kweli kabisa makaka wengi hawapendi madada zao wachuuliwe na marafiki zao na hii inatokana na yule rafiki yako huwa mnapiga mastori ya ajabu jinsi mnavyo wafanyia mademu alafu leo asikie unamchukua mdogo wake unafikiri atajenga picha gani
 

mwenzako nilijikuta nipo kwenye uhusiano na mdogo wa rafiki yangu bila kujua ni mdogo ake. Cna uhakika kama jamaa anajua. Hata akijua ntamweleza ukweli coz nimempa heshima ya kuwa mrs. Sasa wewe umemfahamu huyo dogo kupitia bro aafu unataka kuzunguka, siyo vizuri aisee! Jitahidi kuheshimu urafiki wenu.
 
uwezekano wa kukamua upo. lakini sasa ninachokijali zaidi ni urafiki wetu na jamaa myangu. akisikia itakuwaje?

Aisee ka hamjajipanga usijaribu mi nilijaribu mwanzo ilikuwa fresh yalipokolea akawa hamuogopi hata kaka yake, na bro wake alipogundua hadi najuta huo ugomvi mh! Afu mshikaji ni work& housemate wangu kwa aibu ilibidi nichukue likizo bado sijarudi sijui january itakuaje na mshikaji ndo aliyenipokea na kunikaribisha
 
....usijali, urafiki waweza zaa undugu---mke na shemeji!
 
Wanaume bwana 2namambo si kidogo, we kupewa tabasamu tu anakutega? Au kakufuata chumbani kwako na khanga moja? Hebu mkemee shetani haraka...
 
 
Last edited by a moderator:
kaka inawezekana ni kweli unayosema, mabinti wadogo wengi wanapenda kuiga wakubwa siku hizi. La msingi ni kumuelimeisha na sio kutake advantage ya ufinyu wake wa mawazo. Kumbuka siku moja utajifaharisha au kujuta kutokana na uamuzi wako juu ya issue hii.
 
Kama huna nia ya kujenga uhusiano wa kimapenzi basi kaa mbali yake. Usijaribu kuongea nae kuhusu attitude yake, mnaweza kuanguka kabla hata hamjamaliza kuongea.
Ila kama una nia ya kuanzisha mapenzi basi mtongoze, na akikubali mwambie rafiki yake. Hayo ya ku-do yatakuja as a consequence ya kua pamoja.
 
Mnunulie bia kadhaa huyo rafiki yako halafu umwambie akuunganishie laini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…