dvj nasmiletz
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,079
- 2,254
Anayekwenda kupigwa miti ndio ataolewa na amtakaye.............
Kuna mambo mengine yatahitaji uhusika wa wewe kama family(baba) vp utaenda kikaoni?? Ukifikilia mna bifu la muda mrefuKwasababu huolewi wewe muache dada na jamaa ake hata kama humpendi.
Wasije kukushoot mkuuNahisi hili litaenda kunitokea dogo mtu kaelewa sema bro kwikwi mingi
Mtoto wa kume unakuwaje na bifu na mtu? Halafu kwani wewe ndo unatoa ruhusa ya dada kuolewa au kutokuolewa?Husika na kichwa hapo juu.
Utamridhisha dada yako wako wa pekee kwa kuruhusu aolewe naye huyo jamaa ambaye ni paka na panya kati yenu au utamkatalia ili abaki bila furaha (ambayo ndio kitu unapenda awe nacho)
Kifupi hiyo ni extension ya dharau, ni kama anasema kukuonyeshea kuwa mimi ni mwamba nitamtqmba dada yako!
Anakuwa naye kwa muda baadae anampa talaka ili uendelee kuumiaNa hiyo ndio tafsiri yenyewe[emoji23] bifu bifu na dada yake namuoa [emoji38][emoji38][emoji38]
Husika na kichwa hapo juu.
Utamridhisha dada yako wako wa pekee kwa kuruhusu aolewe naye huyo jamaa ambaye ni paka na panya kati yenu au utamkatalia ili abaki bila furaha (ambayo ndio kitu unapenda awe nacho)
Chukulia wewe ndio kaka mkubwa...au mfano ndio umemlea,somesha??Mtoto wa kume unakuwaje na bifu na mtu? Halafu kwani wewe ndo unatoa ruhusa ya dada kuolewa au kutokuolewa?
Yaan hapo ndo atachochea motoAnakuwa naye kwa muda baadae anampa talaka ili uendelee kuumia