Dada yangu ana jinsia mbili

Wa kuuliza ni wazazi wenu, pili kama jinsi ya kiume ndo inaonekana ina nguvu shule alikosoma hawakumshtukia ? Majibu yako ndani ya familia yenu usituumize vichwa.
 
Sasa kinachokuuma nini badala ufurahi umepata kaka unasema umechanganyikiwa aisee we niaje hutaki dadakoa ale pisi?
 
Hiyo namba tunaihitaji wengi na hivi weekend imeingia ndo kabsaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
umesema dushelele ilivishwa kinga, na umesema dushelele haijatahiriwa, na ilikuwa usiku. Na hamkuwahi kujadili kuhusu jambo hilo. Swali langu: uliwezaje kujua kuwa dushelele iliyokuwa ndani ya kinga haijatahiriwa?

Kwa akili yako wewe unafikiri mitandao ikiwemo na Jf husomwa na vijana tu. Wapo wazee wengi tena retired officers huko huko vijijini tena wa umri wa wazazi wako au kuwazidi wanasoma mitandao hii zaidi ya nyie mnaofukuzia pocket money kwa dada zenu. Wakiusoma tu huu uzi watawa alert wazazi wako juu ya jambo hili nao hawatakaa kimya kama wewe uliedai umelinyamazia kwa kulianika mitandaoni.Reasoning ability ya mwanachuo. Pia kwa akili yako mama aliemzaa huyo dada yako ndie angekuwa wa kwanza kuyaona hayo mapungufu. Kwa taarifa yako mama humchunguza sana mwanae kubaini mapungufu yoyote ya kimaumbile na hivyo hivyo wakunga na kama kweli yapo basi dada yako asingekubali kumfungulia mgeni wa pili akijua anae mwingine chumbani na wote wapo uchi. Kama kweli nae ana elimu kubwa kama ulivyotuaminisha asingekubali kuyafanyia hayo kwake. Sio nimechangia uzi wako kukuonea huruma wala kukushauri la hasha nimetaka kukuumbua tu kwa kuingia jukwaa hili la magreat thinkers na jokes kama hizo wakati zina jukwaa lake. Na nyie mods ni kwanini mnaonyesha udhaifu wa kiwango hiki? Kweli hamkuelewa jukwaa lililostahili uzi huu?
 
Hii stori ni ya siku nyingi sana, huyu mleta mada aliposhauriwa kushare hii stori na mama na baba yake, alileta mrejesho? Maana wao ndio wange confirm kwamba she is a he...
Mie nahisi kisayansi kama huyo dada ana muonekano wa kike kabisa meaning ana hormone nyingi sana za kike hawezi kuwa na uume significant kama anavyoeleza mleta mada. Naamini huyo dada ni lesbian najamaa alimkuta kavaa dildo la rangi sawa na ngozi ya mdada....
Caster Semenya pamoja na muonekano wake wa kidume dume alichunguzwa nahakukutwa na uume significant kusema yeye ni mwanaume
 
Sio msagaji sababu anajinsia mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…