Dada yangu ana jinsia mbili

 
umesema dushelele ilivishwa kinga, na umesema dushelele haijatahiriwa, na ilikuwa usiku. Na hamkuwahi kujadili kuhusu jambo hilo. Swali langu: uliwezaje kujua kuwa dushelele iliyokuwa ndani ya kinga haijatahiriwa?
 
Duuh
 
 
Duuh
 
jf kiboko, unacheka hadi unashtukiwa na ofisini. sipati picha huyo dada anavyotafuna vikojoleo vya wenzake
Wakati naamulia ugomvi walikuwa wa mnyama na ilikuwa imesimama, ni dushelele kama ya mwanaume kabisa tena inaweza kuwa inazidi dushelele za wanaume wengi tu

Sina hofu isipokuwa nimetaharuki tu kujua kwamba dada yangu yupo hivyo, i wish ningejua mapema zaidi
 
 
Naam
 
The only thing nitakacho kushauri kuhusu dada Ako is she is blessed with two genital male and female it's only God decided to do that and you can't denie it. So kwa haraka haraka naona ni mda muafaka wa wewe kukaa na dada/ kaka ako kujua ni kipi anataka kupewa mimba au kumpa mtu mimba that a blessing bro enjoy it
 
Hutokea binadam wakawa na viungo vya kike na vya kiume, na pia vyote vikaweza kufanya kazi sawa au kimoja kikafanya kazi kingine kisifanye au kimoja kikafanya kazi zaidi kuliko kingine.

Ni maumbile na yapo hayo, lakini aghalabu sana na familia hufanya ni siri kubwa kiasi kwamba haijulikani mbali ya watu wawili watatu kwenye familia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…