Acha kuhalalisha uovu unaotujazia watoto wa mitaani,naomba msimsikilize huyu jamaa,cha kufanya muonye kwanza dada yako, akiendelea mwache siku hizi za mwizi ni ishirini na si arobaini tenaKaka ukweli mchungu hamna asiyefanya siku hizi swala hapo ni kujificha sana. Utaukataa huu ukweli lakini ndivyo ilivyo watu wanakula hata wake za marais ije kuwa sisi wa mitaani???? mke wa rais ana watu wangapi wa kumlinda??? na mkeo anao wangapi wa kumlinda?? Hii lazima tuikubari tu no way out.
Mwambie atafute jinsi nyingine asionekane maana ukimwambia shem utasababisha matatizo sana. Kaa ukijua hujamuona tu naye shemeji yako akitoka gesti kwa sababu anajificha sana au maeneo yake yako mbali na wewe, naye anafanya.
Mwache sista ahondomole tamtam na switi bebi wake masogange.
Mwambie atafute jinsi nyingine asionekane maana ukimwambia shem utasababisha matatizo sana. Kaa ukijua hujamuona tu naye shemeji yako akitoka gesti kwa sababu anajificha sana au maeneo yake yako mbali na wewe, naye anafanya.
jamani mhuuh!
Mwambie sisteri kwamba ulimuona na anachofanya c kizurriHello wana jf. Ni tumaini langu mpo good! Katika hali isiyo ya kawaida nimegundua dada yangu ana mahusiano ya kimapenzi na njemba nyingine pale nilipomfumania akitoka gesti naye bila yeye kuniona. Kinachoniumiza nashindwa kujua nimwambie shemeji wangu au nimwonye ccta kwani ni hatari sana. Jamani naomba ushauri wenu wa dhati,THANKS
Kaka ukweli mchungu hamna asiyefanya siku hizi swala hapo ni kujificha sana. Utaukataa huu ukweli lakini ndivyo ilivyo watu wanakula hata wake za marais ije kuwa sisi wa mitaani???? mke wa rais ana watu wangapi wa kumlinda??? na mkeo anao wangapi wa kumlinda?? Hii lazima tuikubari tu no way out.
Baba Erick na utu uzima wako wote unashindwa ku handle kitu rahisi kama hiki hadi unakuja kuomba ushauri jukwaani? Heshima yako inashuka mzee
Acha kuhalalisha uovu unaotujazia watoto wa mitaani,naomba msimsikilize huyu jamaa,cha kufanya muonye kwanza dada yako, akiendelea mwache siku hizi za mwizi ni ishirini na si arobaini tena
Inawezekana kabisa shemeji yake ndio gwiji la kucheat.
Mwite dadako mwambie 1-2-3!tena ikiwezekana mwite shangazi yenu kama yupo mmuweke kiti moto ,na mwulizeni kwanini anafanya hivi yawezekana shemeji ndo chanzo au shemeji miundo mbinu imechakaa hivyo kamruhusu akajinafasi nje!! Ila nachokijua hataacha ila ataongeza umakini jinsi yakujificha!i
Yakhe vipi kwani?
Babaenock,
mambo ya ndoa ni magumu sana
ukisema kwa shem wako ujue ndo mwisho wa ndoa yao - yaani wewe ndo chanzo cha kuvunja hiyo ndoa,
kama vipi sema na dada,
ukiona huwezi wewe endelea na maisha yako, yakwao waachie wenyewe.
tafadhali kaa na dada umweleze ukweli na kumshauri na atakuelewa vizuri sana wala usitie shaka
Mi niliwahi kukumbukwa na jambo kama hilo ila niliambiwa na dada yangu mkubwa kuwa dada yako anatembea nje ya ndoa na jamaa mmoja maarufu sana hapa mjini na inahatarisha ndoa yake halafu mi na shem wangu ni watu wa karibu sana sana na tumekuwa tunashirikiana na kwa mambo mengi.nilimpigia simu dada na kmtaarifu kuwa ninakuja huko(mkoa) kuonana nawe kisha nitarudi dar,nilienda safari ndefu sana na nikakaa naye nikamueleza na alikiri na alilia sana na kuniomba msamaha kwa kuidhalilisha familia na kutamka kuwa hatarudia kamwe ktk maisha yake na sasa yupo na mmewe na hilo sakata tukalimaza wenyewe.
wewe nenda kwa dada umwambie ukweli kama unataka dada aendelee ktk ndoa yake