Dada yangu anamcheat shemeji


sure lol!
 
Unapotaka kulisanua kwa shem wako au kumpiga ribiti sista wako, Je unajua sista anachokikosa kwa shem wako kinachomfanya aende nje kukitafuta? Kama je mapigo ya shem wako kwenye 6x6 ni hafifu utamsaidiaje? Pilipili usizozila zakuwashani??

jamani huyo ni dada yangu na namtegemea sana kimaisha
 
nitajaribu kuchonga naye ndugu ila dada yangu amenipita na miaka 9

We achana na hiyo mambo kabisa!Dada yako mtu mzima na anajua anachokifanya.Kwani ameanza leo?Piga kimya tu.Unajua kuna mambo mengine mtu unatakiwa kuyameza kama jinsi yalivyo na kutumia busara ya kukaa kimya.
 
Mwambie shem. Ila aisee mbona kuna mambo mengi ya kujadili yenye maclai kw weng instead f ur family related things! Ah kuna mgomo ud, lema ndani, umeme mgao,rombo bendera ya kenya, etc ila ucmind uwe ma best!
hayo yana sehemu yake nyingine mpe mwenzako uhuru huwezi jua inamgusa kwa kiwango gani?
 
ongea na dada yako ,kumwambia shemeji yako huo ni umbea hlf atakuchukulia bonge la ****.
 
We jikaze uongee na huyo sister wako hata kama amekupita miaka tisa.
Yakimshinda akakamatwa then huo msala wake
 
1.Umemwona mara ngapi? usije siku moja pengine alikuwa anapita na shughli zake. Acha wivu.
2. Wewe baba Erick huchiti mkeo??
3. Kama ni kweli ujue hajaanza leo, pengine hata kabla ya kuolewa na anajua anacho kifanya.
4. Kabla hujaongea na yoyote ebu wachunguza kwanza wanavyo ishi na ni bora uanzie topic nyingine kupata njia ya kuongelea hilo swala.
 

Inawezekana shemeji yako hamkuni sawa sawa ndo maana ameamua kutafuta kipoozeo
 
ongea na dada yako ,kumwambia shemeji yako huo ni umbea hlf atakuchukulia bonge la ****.

Maneno ya uswahilini hayo mtu anapo enda kinyume na mila na desturi unapo taka kumweka sawa unaitwa mmbea
 
Hii issue jipimeni nyie wote mnaochangia humu na miungu yenu kama mngekuwa hamfanyi na kitu hiki ni cha ajabu sana mngesema amchane tu kwa shemeji yake maana ameporomosha maadili yetu kwa kiasi kikubwa. Lakini kwa sababu kila mtu anaona kuwa hili jambo ni la kawaida ndo maana kila mtu anasema ongea kwanza na dada yako. Maana kila mtu anajaribu kiatu cha dada yake na kuona ndicho anachovaa nawasifu waliosema mchane kwa shemeji yako na Johsecond aliyesema mwambie ajifiche sana maana kila mtu anafanya swala ni kuonekana.
 
Duu, anachokifanya sista siyo kizuri hata kidogo. Ukikaa kimya anaweza kuja kukamatwa na linaloweza kumpata linaweza kugharimu uhai wake. on the other hand, ukimwambia pia ni hatari maana hujuwi shemeji yako anaweza akuchukua hatua gani thereafter! Cha msingi kama wadau wengine walivyochangia, kaa na sista wako umuonye kwa upendo na kumtahadharisha juu ya hatari inayoweza kumkuta, usitumie hasira wala kumtisha anaweza kukutimua au kukuelewa tofauti.
 

Kama shemeji yako anakulea na wewe pia, basi nakushauri anza kuangalia mkakati mwingine wa maisha, lazima shemejio aakuja gundua, na hilo likiokea, wote wawili mtatupiwa virambo vyenu nje. Kushauri anza kuondoka mapema hapo kwa shemejio kama nawe waishi hapo
 
Achana na ndoa za watu,
we chukua time yako,
fanya mambo yaliyokuleta bongo
unajuaje pengine shemejio siyo nani,
halafu wewe yatakuja kukukuta makubwa.
 
Usilogwe kumwambia shemeji yako, bora uongee na dadako na ikibidi mtishie kuwa utamsemea kwa shem wako hope ataogopa na ataacha. Ukimwambia tu shemeji yako kuna mawili, moja wanaweza kugombana na kuachana au hata kuumizana au kuuana kabisa, mbili wanaweza wakagombana na badae wakapatana na wewe ukaonekana mchawi! Mind your own business hii kitu itakupa problems.
 
kunaa mawili,kwanzaa jifanye ujajuaa walaa hujaonaa chochote so unakuwaa umepotezea hivii.pilii mface dada ako mwambie anavyo fanyaa sio vizurii ulimuonaa so ajiheshimu cse ni mke wa mtu,faida ya ya kwanza...utaepukaa kuwa tatizoo la migogoro katika ndoa ya dada ako,au utajifeel gilt kumuona sister wako aki cheat na ujamwambia mtu.faida ya uwamuzii wa pili,unaweza kuwaa chachuu ya kumfanyaa dada ako abadili tabiaa yake na kujiheshimu au unaweza kuwaa mwazo wa ugovii na dada ako kuona unaingiliaa uhuru wa maisha ya mapenzi yake,mfano akikwambia shemeji yako anikunii vizuri...utafanya je?changuaa uwamuziii wenye busara
 
ha! uko teyari kumuharibia my sister wako.Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…