Baba Erick
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 483
- 75
- Thread starter
-
- #81
Ongea na dada yako na kumuonya kwamba kitendo anachokifanya si kizuri, lakini usimwambie shemeji maana ikatokea ndoa kuvunjika basi anaweza kujenga uhasama nawe kwa miaka chungu nzima na hata ndugu wengine kukuchukia kwa kuwa chanzo cha kuvunja ndoa ya dada yako.
mbona dada yako hapa mtaani anasema kuwa anafanya kazi kwenye hiyo guest house na siku hiyo ulipomwona alikuwa na shemegi yake alikuwa ametumwa nakaka kaka yake akamwite maana shemegi yako au mme wake aliugua ghafla na kukimbizwa hosp. na hali ilikuwa mbaya wakaogopa kumpigia simu maana wanapenda sana na mme wake angestuka sana?
Theme kila tunapomwona mwanaume na mwanamke huwa tunawaza ngono tu?
Muonye dadako ya kuwa hiyo tabia anayofanya si nzuri, na ina athari nyingi sana katika ndoa yake.
Usimuambie kwanza shemejio kwani waweza vunja ndoa ya dadayo
Ikiwa unamtegemea kwa chochote kimaisha, kuwa mpole, La mpe live ataleta aibu mtaani na home kiujumla!
Hello wana jf. Ni tumaini langu mpo good! Katika hali isiyo ya kawaida nimegundua dada yangu ana mahusiano ya kimapenzi na njemba nyingine pale nilipomfumania akitoka gesti naye bila yeye kuniona. Kinachoniumiza nashindwa kujua nimwambie shemeji wangu au nimwonye ccta kwani ni hatari sana. Jamani naomba ushauri wenu wa dhati,THANKS
Unapotaka kulisanua kwa shem wako au kumpiga ribiti sista wako, Je unajua sista anachokikosa kwa shem wako kinachomfanya aende nje kukitafuta? Kama je mapigo ya shem wako kwenye 6x6 ni hafifu utamsaidiaje? Pilipili usizozila zakuwashani??
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaa yoyo we nomaMe ndo nilikuwa na dada yake..baada ya mambo yetu yalee akaniambia jamaa yake hamridhishi..kaniambia kesho tena..Afu ela ya gest.i huwa analipaga yeye...Kapenda yoo yoo zangu..yoo
mbona iko mzuka tu ............after all kila mtu yuko na style yake ya ntoke vipi........umeona wenzio wanasema "mia" nalog off" "unachekesha" mpwa" nawewe umeiga kila mwisho mwapost yako unaweka "yoo" hovyo sana!
ulitaka asiwe dada ako awe mkeo sio?
Hebu niambie shemeji yangu!
Hello wana jf. Ni tumaini langu mpo good! Katika hali isiyo ya kawaida nimegundua dada yangu ana mahusiano ya kimapenzi na njemba nyingine pale nilipomfumania akitoka gesti naye bila yeye kuniona. Kinachoniumiza nashindwa kujua nimwambie shemeji wangu au nimwonye ccta kwani ni hatari sana. Jamani naomba ushauri wenu wa dhati,THANKS
thanks lol nimeipenda flow ya ushauri wako. Nitachonga naye weekend ijayo.Utuzima dawa, mwite dada yako mueleze analolifanya sio jambo zuri hata kidogo na jee inghekua mumewe ndio amefanya hivyo angefurahi? aangalie sana maradhi na kama kuna kitu haridhiki nacho kwa mumewe basi wakae watatue kama kuna tatizo lakini njia anayo kwenda nayo sio sahihi....