Dada yangu anapitia kipindi kigumu anaomba ushauri wenu waungwana

Bosi ameanza kumsumbua baada ya mme kuachishwa kazi au ni dada ameanza kumsumbua bosi baada ya mme kuachishwa kazi halafu hii "anampenda sana mme wake"😂😂imekaa kisaliti sana
 
Amwambie boss amuonheezee kwanza mshahara
 
Inakuwaje mke wa mtu hajui namna ya kuepuka mitego na mitongozo ya wanaume wengine? 🤔. Anyway kamba hukatikia pembamba, ni swala la muda tu.
Ndio wanawake walivyo ni kama wewe usivyoweza kuepuka mitego ya mwanamke anayekutaka..
 
Yaani wewe ndiye kaka yake kweli?
 
Hapo mambo ni mawili tu,ni aidha akubali ombi la boss ama apoteze kazi
 
Msikilizishe mkasa wa Boss by Ferouz.... then mmalizane huko ki familia
 
Ww umeshindwa mshauri dada ako? Lkin pia haujafafanua dada ako wa namna gani? Au ww ndio bosi mwenyewe unaomba ushauri kijanja?
 
Ni sualaa la muda tu wewe mleta mada utamsaliti mumeo na kumuona mzigo. Hakuna mwanamke anayependa mwanaume jobless. Utampa papuch boss wako halaf baada ya hapo hakuna rangi utaacha kumuonyesha mumeo.

Ushauri
Mchane live mumeo mapema, maana utamuacha very soon, sasa ni bora mkaachana kwa amani kuliko varangati utazoleta baada ya kugawa uchi kwa boss wako na wanaume wengine.
Mchane ukweli atembee mapema kiroho safi
 
Huyo dada yako hayupo smart ndo maana natongozwa hovyo hovyo. Mwabie qjiheshimu naache.mazoea.na men
 
Dada ako/ mke wako amejiweka ktk mazingira ya kutongozwa

Mke wa mtu anayejielewa huwa hatoi hizo loop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…