Dada yangu anapitia kipindi kigumu anaomba ushauri wenu waungwana

Pole sana kwa hali anayopitia dada yako kamwe asimpe huyo boss kwani anaweza kumpa akaharibu na kazi yenyewe
 
Huu ni unyanyasaji wa kijinsia huwez lazimisha kitu kama mtu hajaridhia huyo boss atakuwa ni CCM
 
Dada yako ndio kakwambia?
Kwani unadhani dadako akimpa bosi atakwambia?
 
Atafute namna ya kumuekea sumu boss AFE.

Bladfaken bosses.
 
MASWALI YANGU YA KIJINGA.
-Bosi ameanza kumpenda dada yako baada ya mumewe kupumguzwa kazi?Kama ndiyo:Aliwahi kusema hayo kabla?
-Ingemchukua dada yako muda gani kumueleza mumewe(na hata wewe nduguye)kwamba bosi wake anamtaka wafanye matusi kama angekuwa bado kazini?
-Nikihitimisha kwamba dada yako ana tabia ya umalaya na anatafuta kura za wajinga ili ahalalishe kuutenda hadharani,nakosea?
 
Kama hadi sasa huyo Dada yako hajamwambia mume wake kuhusu suala hilo napata UKAKASI na huo unaosema Upendo kwa mumewe.

Huyo anaipenda kazi kuliko mumewe. Kwa mbaaali namuona SHETANI ana shida na Ndoa ya Dada yako.
 
Mawili, amshataki bosi, kwa boss mkubwa, takukuru, hata polisi. Au aache kazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…