Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
DADA ANGU KIPENZI NAKUKUMBUSHA TU
Dada angu mwema, naipenda furaha yako nami sisiti kukuhusia katika yale niyafahamuyo mimi ambayo ni mambo mema kwenye maisha yako
1. DADA ANGU mwema, mwanaume yeyote anayekupenda kwa dhati na anayekuwazia mema hawezi kukushawishi akulale kinyume cha maumbile. Hayupo mwanaume sahihi/bora anayekupenda sana na anayeijua thamani yako akakushawishi au akaongea ujinga huu. Hapo HAMNAMO mwanaume jiongeze hiyo ni mbuzi
2. DADA ANGU mwema hakuna mwanaume anayekupenda sana akakuambia nizalie mtoto kwanza ndipo nikuoe basi ukifanya hivyo🙌🏿😢 jiandae kuwa single mother uliyepumbazika na penzi la majaribio yaaani wewe ni MGALATIA
3. DADA ANGU mwema usipunbazike na penzi la mume wa mtu kisa anakulipia kodi unapokaa Huku ukipambania eti aachane na mke wake akuoe wewe dada fumba macho tukuombee tu
4. DADA ANGU mwema, usiolewe na mtu kisa umezaa naye, amekusaidia, changamoto yako, upweke na usibaki kwenye mahusiano yale yaliyokufa kisa umezaa naye, dada angu, mtoto haleti upendo utabakuwa kama dada wa kazi tu
5. DADA ANGU mwema, usikubali kutumiwa kimapenzi na mwajiri wako (boss wako) ukajiona umeyawin maisha. Umeshapotea na utapoteza kujiamini na utakuwa adui wa wafanya kazi wenzako kwasababu utawaumiza
6. DADA ANGU mwema usiendelee kuzaa na mwanaume ambaye umeona kabisa haeleweki, anakwepa majukumu maana utakuwa na majukumu makubwa ya kulea pekee ako na ukiachika utapata shida kupata mwanaume atajayekuoa ukiwa na watoto wengi dada angu
Yawezekana umemuona haeleweki achana naye kama uko naye kwenye ndoa achana au punguza kuzaa linda thamani yako usije kujuta.