King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Wadau wanasema kwa jinsi alivyo sasa Emma ,akikupa kichwa chake unaweza ukavua nguo na kutembea uchi wa mnyama.Kitanda usichokilalia hujui kunguni wake, usiongee usichokijua.
Jamaa ana msongo wa mawazo yule, hauhitaji ujuzi mkubwa kumjua. Yaliyomkuta yashamwathiri, hebu acheni kuhukumu kama Miungu vile.
Kavae viatu vyake, ndiyo utajua uzito wa matatizo yake
We utakuwa na hekima sana na jicho la pekeeKitanda usichokilalia hujui kunguni wake, usiongee usichokijua.
Jamaa ana msongo wa mawazo yule, hauhitaji ujuzi mkubwa kumjua. Yaliyomkuta yashamwathiri, hebu acheni kuhukumu kama Miungu vile.
Kavae viatu vyake, ndiyo utajua uzito wa matatizo yake
Duh! Kweli kitanda usichokilalia huwajui kunguni wake, yule jamaa afanyiwe msaada haraka sana. Wataalamu wa ushauri ndiyo wanaweza kumwokoaWadau wanasema kwa jinsi alivyo sasa Emma ,akikupa kichwa chake unaweza ukavua nguo na kutembea uchi wa mnyama.
Shukrani mkuu, haipaswi kumuhukumu yule. Asaidiwe tuWe utakuwa na hekima sana na jicho la pekee
Uko sahihi ila ni wachache wenye tabia ya kuangalia mambo namna hiyo endelea na moyo huoShukrani mkuu, haipaswi kumuhukumu yule. Asaidiwe tu
haha..yani wa wanaume tunavumilia mpaka moyo unakufa ganzi alafu unasahau kama ni uvumilivu unajionea kawaida tuu....upande wa pili sasa....anavumilia mawili anayaweka moyoni na anakusema nayo mpaka akili iakukaa sawaWanaume tunavumilia yoote
Ukiacha yote,jamaa huyo jamaa ni mshamba sana halafu ana mambo ya kitotoDada yangu najua ni jinsi Gani ulivyoumia pale watu walivyokuwa wanakushambulia mitandaoni kwa maamuzi uliyochukua kwa kuolewa na mtu mwingine ambaye uliona ni sahihi kwako.
Kiukweli tokea umemkimbia kaka yetu Ema, Ni dhahiri yupo kama mtu aliyechanganyikiwa na sasa anaonyesha dhahiri tabia zake kuwa ni mbaya sasa amekuwa mtu wa kuropoka ropoka kule instagram.
Amekosa hekima, linalomjia ye anaropoka tu alafu anajiita baba mtumishi, inaonekana kipindi cha mahusiano ulimsitiri kwa mengi sana na ulikuwa ukimfunga speed governor na ndio maana alikuwa ni mtu mstaharabu na mkimya, lakini tokea uchukue uamuzi wa kumuacha kaka yetu amekuwa ni mtu asiyeeleweka, labda huenda anaanza kuchanganyikiwa taratibu.
Na kwa siyeamini aingie kwenye account yake ya instagram, kiukweli Ema amekosa hekima kwa sasa, mambo anayopost na maneno anayoandika hayafananii na cheo cha utumishi anachojipa,.
Kaka yangu bado mda unao rudi jiangalie na jirekebishe.
Labda umechukua nafasi ya Frola imekufanya uandike hikiDada yangu najua ni jinsi Gani ulivyoumia pale watu walivyokuwa wanakushambulia mitandaoni kwa maamuzi uliyochukua kwa kuolewa na mtu mwingine ambaye uliona ni sahihi kwako.
Kiukweli tokea umemkimbia kaka yetu Ema, Ni dhahiri yupo kama mtu aliyechanganyikiwa na sasa anaonyesha dhahiri tabia zake kuwa ni mbaya sasa amekuwa mtu wa kuropoka ropoka kule instagram.
Amekosa hekima, linalomjia ye anaropoka tu alafu anajiita baba mtumishi, inaonekana kipindi cha mahusiano ulimsitiri kwa mengi sana na ulikuwa ukimfunga speed governor na ndio maana alikuwa ni mtu mstaharabu na mkimya, lakini tokea uchukue uamuzi wa kumuacha kaka yetu amekuwa ni mtu asiyeeleweka, labda huenda anaanza kuchanganyikiwa taratibu.
Na kwa siyeamini aingie kwenye account yake ya instagram, kiukweli Ema amekosa hekima kwa sasa, mambo anayopost na maneno anayoandika hayafananii na cheo cha utumishi anachojipa,.
Kaka yangu bado mda unao rudi jiangalie na jirekebishe.
Nimeona juzi juzi katoa waraka wa kuwafunda wanandoa wanaotaka kuachana,watumishi wa mungu wenzake.Duh! Kweli kitanda usichokilalia huwajui kunguni wake, yule jamaa afanyiwe msaada haraka sana. Wataalamu wa ushauri ndiyo wanaweza kumwokoa
Kitanda usichokilalia hujui kunguni wake, usiongee usichokijua.
Jamaa ana msongo wa mawazo yule, hauhitaji ujuzi mkubwa kumjua. Yaliyomkuta yashamwathiri, hebu acheni kuhukumu kama Miungu vile.
Kavae viatu vyake, ndiyo utajua uzito wa matatizo yake
Huyo jamaa ni def. Halisi ya wanaume wa dar
Madhara ya kuanza mapenz ukubwani hayo