Nacheka kama mazuri. Siku zote mapenzi ni starehe bana sasa pale watu wanapoigeuza ni kama adhabu huwa nashindwa kushangaa.
Na pia najiuliza joto hilo ni la dunia gani ambalo kwa style za kawaida halipatikani. Mimi hiyo raha wacha nisiipate tu kwa kweli.