Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,265
SIO TABIA NZURI KUANIKA NDANI. WEKA NJE, NDIO MAANA HATUFUI AU TUNAVAA ZILIZO CHAKAA. NI KITU CHA KAWAIDA. KWANI NANI HAJUI KUWA UMEVAA CHUPI.
hujajibu suala, ni ustaarabu wa taifa gani kuweka nguo za ndani watu wote wakaona?
Kwenda nyumba ya mtu ukakuta chupi nje si ustaarabu hata huko ulaya au asia. Wanaoanika nguo za ndani nje inakuwa nyuma ya nyumba au uwani ili mgeni asifike nyumbani akakaribishwa na nguo za ndani.
Kumkaribisha mtu nyumbani kwako huku umening'iniza nguo za ndani kila pahala si ustaarabu. na ikiwa hakuna pengine pa kuanika basi kwa ustaarabu tulofundishwa na watu wa zamani, unaning'iniza pamoja na kitambaa chepesi mbele yake ili kuzuwia kukirihisha wageni wako.
Nilienda kusalimia nikakutana na iyo hali ndio maana nikaileta hapa tuijadili.
Nilienda kusalimia nikakutana na iyo hali ndio maana nikaileta hapa tuijadili.
kuanika nje sio tatizo ila unaingia ndani unakuta zimewekwa kama SHOW ndo kinachoboa watu wangu.
haina shanapa babuu
basi umejibu swali langu la kwanza kwamba inategemea na mazingira, ungezikuta hizi sebuleni basi ingekuwa issue... na kama huyo ulienda kumuona sio mgonjwa mgeweza kutoa viti nje mkakaa.kwani kumsalimia m2 kosa? Pili anakaa chumba kimoja.
Na wewe ustaarabu gani kwenda mpaka vyumbani kusalimia?
sio USTARABU kwa nini wasifunike na kitambaa chepesi sababu kama unakaa chumba kimoja. Pia kama wewe ni muungwana utajua kutofautisha nguo ipi inatakiwa ikae wapi na ipi haitakiwi.acha hizi wewe kwani unavyosema ndan mean kila kona ya chumba au haja yako ni kudhalilisha
wa dada tu??? kwani mbona za kiume zinazagaa tu na hujasema au mizuka yako ndo unakuja
na hoja kama hizi humu jf......
wewe yako huwa unaweka wapi???? kwenye sanduku hata ikiwa mbich wadada wakipata fungus
mnaanza maji mengi mara katerero wacha hizoo bana
kwanza heri ya nyu iya
kwa mabinti ukienda vyumbani kwao utakuta wametundika nguo zao za ndani kila m2 anaona je huu ni ustarabu ama ni kwanini msiziweke sehemu za faragha? JE HUU NI HUUGWANA
weye watafuta nini huko? usivichukie vichupi kwenye mashindano ya u misskwa mabinti ukienda vyumbani kwao utakuta wametundika nguo zao za ndani kila m2 anaona je huu ni ustarabu ama ni kwanini msiziweke sehemu za faragha? JE HUU NI HUUGWANA