Dada zangu mnaosumbuliwa na maumivu ya mgongo na hamjui sababu, msaada umefika

Mkuu inatakiwa kuwa hivi...
Ugali ngumi yako +
Protein (nyama au maharage) ngumi yako. +
Matunda na mboga mboga ngumi yako.

Nahakika ukiweka vyote hivyo sahani itajaa hadi juu.

Na utashiba kabisa ukinywa na maji.

Hhahaa sawa mkuu..lakini tuangalie na mazingira na nature ya kazi...dah..
 
Mmmh!
 
Kuna uzi niliukimbia mm???upi huo best?nitag hebu...!??mm nipo ila nw nipo sehem ambazo hazina netwek so naonekana kwa nadra sana...tag me
 
Maji lta 1 na nusu kwa dk 2😂😂😂
 
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]aisee ila kweli... ss unanishaurije Dk[emoji41]...ushauri wako nitaifanyia kazi hv punde
Naweza kukuhoji kwanza nijue, ulivo na tatizo lako lina mda gan. Kwa msaada zaidi.

But nahis itakua ngume wew kuexpose kwa wengi humu na kutoa majibu kwa uwazi.

Ukiweza ni PM.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mimi hilo zoezi silitaki, bora niruke kamba.
 
Umeanza vizuri,, ulipoingiza habari za sex niaacha kuisoma. shetani mkubwa.wewe
Sawa tu, but remember you need to be active, usiwe bongo lala au mkwepa majukumu na kupenda kulilax mala kwa mala.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mimi hilo zoezi silitaki, bora niruke kamba.

Mtaachika mabinti...toa tendo la ndoa kila siku na kwa muda anaotaka mumeo..hv mnafundwa na nani lakini??
 
Nataka mpenzi sio sex p[emoji21]
Sisi wanaume huwa tunapata shida moja,
Ukiona mwanamke anae kufaa, ukijarbu kuwa karbu nae ili uweze kumtongoza, unakuta anakukwepa.

Lakini kwa nyinyi wasichana masharaha ukipenda mwanaume na ukaona ni husband material sio kazi sana kumpata.
Ni rahis tu kwani ulitaka ukarbu nae siku mbili tu lazima akutongoze.

But:
Note: swala la yeye kuja kukuacha na mengineyo ni kitu ambacho chaweza kutoea au sitokee.
niseme tu ni sahihi kujijengea mawazo kuwa, kuachana na mpenzi kupo tu yawezekana sana kwani binadamu tuna mambo mengi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mimi hilo zoezi silitaki, bora niruke kamba.
Hahahaaaaa ni sawa ukiweza kuruka kwa masaa mawili everyday.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mimi hilo zoezi silitaki, bora niruke kamba.
Mtaachika mabinti...toa tendo la ndoa kila siku na kwa muda anaotaka mumeo..hv mnafundwa na nani lakini??
Kwa hili mimi nimeisha nyanyua mikono juu.

Wasichana wengine wa bongo, sijui pschologia zao zina shida gan???

Why usitake sex???
 
Mwanaume ukimpenda anaanza kuact kama slay queen ndo ujinga tunaukataa
 
Kwa hili mimi nimeisha nyanyua mikono juu.

Wasichana wengine wa bongo, sijui pschologia zao zina shida gan???

Why usitake sex???
Hahahhaa wanakua hawana hamu kwasababu wanawaza sana pesa hawafai hawa kbs yaani..mm sitak hata kukaa nao kRibu ...iweje ukatae sex jaman kwa mumeo
 
Unakosea kuchagua.

Wenye hekima twatambua hayo kwa kumuangalia mtu ndani ya siku moja tu.
Mwanaume ukimpenda anaanza kuact kama slay queen ndo ujinga tunaukataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…