Dada zangu mnaosumbuliwa na maumivu ya mgongo na hamjui sababu, msaada umefika

Why you think negative all the time???

Deputy jesus ndio nn???
Ilia uanze kuact kama deputy jesus[emoji3]
Acha mgongo uniume mpaka uvunjike kwa mtaji huu
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ tiba ya mgongo nione.

Ili usiamke na njaa kali, usiku kula kiasi (usishibe sana) na iwe mapema; kama saa 2-3 kabla ya kulala.
 
Wanaume wenyewe ndo hawa wasio na shukrani!!!! Akuuu bibi weeee
Mmmh!! Usiwalaumu tu wanaume, usikute hata upande wako kunaweza kuwa na tatizo, tafakar vizur.

Wanaume wanaojua kupenda mbona wapo wengi.
 
'Hamuna' kitu
Hakuna haja yakutafuta mwanaume handsome sanaaaa

Chagua tu anaekwambia kakupenda na anaweza kuku handle basi, unamkubalia.

Maana ukifata sana muonekano, utajikuta kwa tapeli.
 
Shukrani sifuri awe hensam au sura mbaya, maskini tajiri, mrefu mfupi nikifanya nafanya kuuridhisha mwili na moyo lakini sio kuwaridhisha nyie
Hakuna haja yakutafuta mwanaume handsome sanaaaa

Chagua tu anaekwambia kakupenda na anaweza kuku handle basi, unamkubalia.

Maana ukifata sana muonekano, utajikuta kwa tapeli.
 
Duuu, na zile stayle zote za kimahabati unazijua??
Shukrani sifuri awe hensam au sura mbaya, maskini tajiri, mrefu mfupi nikifanya nafanya kuuridhisha mwili na moyo lakini sio kuwaridhisha nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…