Dada zangu omba yasikukute haya

Tupe elimu zaidi mkuu, kwa nilivyokuelewa mtu akipima anapata hofu ndo inampelekea aanze kuumwa ghafla wakati alikuwa mzima, sasa swali langu kwanini wengine wanasoma +ve na wengine -ve? na vipi akipima mtu disminder asiyeogopa itamuathiri pia?.
Mkuu tafuta documentary YouTube inaitwa HOUSE OF NUMBERS, angalau video ni rahisi kufatilia kuliko maandishi. +Ve na -Ve ni nadharia tu, mfano kirusi cha COVID-19 kilionekana mchoro wake kinavyoonekana, wapi umewahi kuona mchoro wa kirusi cha UKIMWI!?, Kawaida mwili wa binadamu ukipungukiwa Kinga baada ya muda ukifanya mazoezi ukala vizuri unarudi normal, lakini wakati umepungukiwa Kinga.. ndo mfano, ukiwa na mafua makali, ukipata UTI, Gono, Maralia etc Kinga zako zikaathirika kwa kawaida ukitibu ugonjwa ulionao na kula kunywa vizuri unarudi normal baada ya muda. Ila kipindi unaumwa hayo magonjwa hapo juu na ukajichanganya kucheki UKIMWI ukaambiwa uko +Ve, palepale wanakuanzishia DOSE ya ARV, nao wamekaririshwa hivyo makusudi ili kuongeza namba ya watumiaji duniani. Ila usipopima ukimwi utatibu Maralia, UTI, Gono etc etc na utarudi NORMAL. Na hata ukipima UKIMWI ukaambiwa uko +Ve ila ukawa mbishi ukaenda kutibu unachoumwa tu na ukala vizuri baada ya wiki chache ukipima tena UKIMWI utakuta -Ve, nina ushahidi wa zaidi ya watu 10 walioambiwa wako +Ve siku chache nikajua nikawaambia watupe madonge waliyopewa na baadae kupima hamna kitu. Hii hutakaa uisikie popote. ARV's ni biashara kubwa sana, na sio bure kama watu wanavyofikiria zinalipiwa. Ni kwamba serikali ya Marekani kupitia USAID, WHO etc zinatoka billions of dollars kuleta nchi maskini, halafu zinarudi kwenye viwanda vyao vya matajiri wachache wamiliki kwa jina la kusaidia nchi maskini ku deal na AIDS. Kwasasa Trump kaondoka USAID, bado serikali ya Tanzania, Malawi, SA, Nigeria etc zitatoa ela zenyewe kununua ARV'S kwasababu wameishaingiza watu wake kwenye mfumo wa ARV'S. Ukishaanza kuitumia ARV'S baada ya muda Fulani sio chini ya miezi mitatu kuziacha ni vigumu, kwasababu Kinga yako ya asili inakwisha unaanza kutegemea artificial immunity (Kinga bandia) iliyo kwenye ARV's, ila ukipata Daktari anayeelewa(mtaalam) hata kama umetumia ARV's muda mrefu anakuachisha taratibu mpaka unaacha kabisa na ukienda kupima UKIMWI unakuta hakuna kitu. Baadhi ya wahubiri mashuhuri duniani hata TB Joshua kabla hajafa walikuwa na taarifa sahihi na walitembelea hii nyota kujifanya wanaponya UKIMWI kumbe wanawapa waumini maelekezo fulani ya lishe na kuwaachisha ARV'S kwa mgongo wa kutumia jina la YESU. Hapa nimekupa hints tu, Maelezo kuhusu H.I.V, AIDS, CD4 count etc, ni mengi sana. Anza na hiyo documentary YouTube ya HOUSE OF NUMBERS itakupa mwanga pa kuanzia, baadhi ya madaktari kwenye hiyo documentary walifungiwa kwasababu ya kusanua ulimwengu.
NB: Haya maelezo huru sio kanuni, waweza kukubaliana nayo au kutokukubaliana nayo. Hapa tuna share knowledge tu. Kuna kuyachukua ukayaweka kichwani au ukayaacha tu. Vyote ni sawa tu.
 
Nimechekaa
 
So ukipimwa unachokutwa nacho ni nini, na kama usipopima kinakua hakipo mwilini?

Nimependa mada yako, nielimishe kidg
Mkuu fatilia POST zangu zote kwenye hii thread nimetoa maelezo mengi sana. Nitarudia kwa ufupi UKIMWI ni UPUNGUFU WA KINGA MWILINI, huo sio ugonjwa, hata ukiwa na Maralia sometimes Kinga inapungua, ili ukajichanganya ukapima UKIMWI wakati Kinga zimepungua utaambiwa unao au kile kidude cha kupimia kitaleta mistari miwili, tayari unaanza kuogopa na pengine unaanzishiwa ma ARV'S. Pitia post zangu hapo juu nimewajibu baadhi ya members humu.
 
Kitu qmbacho watu wengi hawakijui ni kuwa UKIMWI sio ugonjwa. Once wakifahamu hili wataanza kuielewa kauli yako Mkuu.
 
So ukipimwa unachokutwa nacho ni nini, na kama usipopima kinakua hakipo mwilini?

Nimependa mada yako, nielimishe kidg
UKIMWI ni hali inayosababisha mtu kushambuliwa na magonjwa mengine kwa urahisi. Ina maana kila mtu anayeumwa ugonjwa wowote technically ana UKIMWI ndio maana anaumwa mf. Mafua, malaria, vipele n.k
 
Wenye pesa ndio wenye HIV? Tu
Kazi ni kipimo cha utu
 
Na muda huu nimetoka kuangalia hiyo documentary nipe nyingine mkuu baada ya house of numbers.
 
So ukipimwa unachokutwa nacho ni nini, na kama usipopima kinakua hakipo mwilini?

Nimependa mada yako, nielimishe kidg
Mkuu katizame hiyo documentary, kiasi inafikirisha na wanaohojiwa ni medical experts.
 
Hii kitu hawawezi kuwafundisha, ukitoka huko hotel kunyandua na uyo na hamjapima, nenda kitua upewe PEP zako safii umejitwalia laki 5 za bure, na mnyanduano maridhawa

No stress
 
Unampigia mbuzi gitaa, kwenye chapaa hao viumbe unang'oa kirahisi sana.

Na wewe utaambiwa unawaonea wivu.
 
Wanawake na materials things ni sawa na living things na oxygen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…