Dada zangu omba yasikukute haya

UKIMWI upo, na kila siku unaua. Mpaka hivi leo watu milioni 43 duniani wameshakufa kwa UKIMWI. Kila mwaka watu laki 6.3 wanakufa kwa UKIMWI. Kila mwaka watu milioni 1.3 wanaambukizwa VVU/UKIMWI ikiwa ni wastani wa watu watatu kwa kila dakika moja. Ukweli mchungu ni kuwa waathirika wa kubwa ni vijana na wanawake. Tujitafakari, tuchukue hatua.
 
Hakika ukimwi ni Hoaxy🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Bora mkuu umweleze huyu bwana mdogo anajitoa ufahamu kwa maneno ya vijiweni
 
Thibitisha
 
Watu wanakufa kwa mengi i.e pressure,sukari,ajari,umasikini aka njaa.
 
Mimi siyo dada bwana 😂 😂 😂 futa kauli
 


Akili za kuambiwa kama hizi inabidi uchanganye na za kwako 👉 I remember Aunt yangu alikuwa kiziwanda ilikuwa haiwezekani kumuangalia mara 2 kwasababu ya ugonjwa tunaoambiwa haupo, aliekwenda yeye, akafuata mme wake na mtoto wao it means uzao wake ulipotea.. afu leo kuna mtu anasema ukimwi haupo Kwaiyo watu wazini tuuuuuuuuuu nothing to them happen 😳
 
Bora umetoa ushauri
 
Duuh...

Wanaume wa Dar mna pesa wakuu.

Mnafanya biashara gani za kuwapa wanawake laki 2 au tatu ?
 
Pepo
 
Kwa mtu mwenye UKIMWI , Corona n.k
Dawa Kuu ni Maombi
Kwa Jina la Yesu
Mtu anapona
 
Maelezo mengi hadi nimeshindwa kumaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…