dah hii kweli, unamtongoza anatiki halafu fwasta bila kuchelewa anaanza, ooh mara simu yangu mbovu, ooh simu yangu illingia maji, nina laini tu niliibiwa simu, Hapo manake kidume unatakiwa uelewe ununue simu kwa bidada!
au ooh hizi nywele zishaanza kuniwasha, halafu saluni ndio vile tena elfu30, lakini kwa sasa sina, itabidi nisuke mabutu tu, Hapo kidume inabidi ujipge utoe hela ya saluni!
Tatizo sio kumnunulia simu , au tatizo si kutoa hela ya saluni! Tatizo ni fwasta demu kuanza kutaka kuitumia ATM yake kabla hata ya kupewa kadi!