welding1682
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 2,151
- 4,681
dada zangu nawaeshimu sana mnaofanya kazi za bar na piss kali haswa,
ila hii tabia ya kuniona nimeanza kupendeza na kuja kuniomba bia mnaniaribia bajeti na bora hatauagize bia ndiyo kwanza mnaagiza lii savana alfu tano mnaniaribia bajeti mbona kabla sijalewa mnanichora tu mpaka nilewe
muache kuwaharibia wateja bajeti zao, nikiwa freshi nitakuita ila si kuja kunishawishi huku nimelewa na sijuh kwanini akili inapotea kwa muda saa kumi usiku inajirudi na maumivu juu.