Dada zetu acheni kulia lia! Mnajirahisi hadi kichefu chefu

kamanda mie nimepona hicho kisu, mitoto yangu yote dume.
Ni kuwajengea mazingira ya uwazi wa kuongea lolote na wazazi
mara moja moja unakaa na kuwapa real life experiences kwa simulizi.
 
dada usininukuu vibaya. Sio wote ila hao ambao hawapo hivo ni wachache sana ni nadra kuwapata.
 
dada usininukuu vibaya. Sio wote ila hao ambao hawapo hivo ni wachache sana ni nadra kuwapata.

wamejaa tele inategemea tu wewe unaishi wapi na unapendelea kwenda maeneno gani,mara nyingi mabinti watulivu kuna sehemu kamwe huwezi kuwakuta huko.
 
Acha kukurupuka na tabia yenu ya kujifanya mnaponda fb
na hali karibu wote mna account huko. Hili linamhusu dada yeyote wa kujirahisi!

wewe ndio unakurupuka mkuu!hebu nionyeshe statement ilionyesha nimeponda facebook kwenye post yangu..
 
Kuna unafiki mkubwa kwenye hii thread. wadada wanapondwa kwa kuwa 'rahisi mno' kuwapata hadi uweze kubadilisha kila siku, lakini wanaume wanaofanya hivo hawasemwi au kupondwa. . Kama kaka unapenda wasichana rahisi, utaenda sehemu wanakopatikana na watakukubalia. kuna wadada ambao si rahisi, wako available kwa wakaka ambao sio players.

Kumbuka unapomyooshea mtu kidole vitatu vinakurudia, u get what u seek na
birds of a feather fly together
 
kamanda mie nimepona hicho kisu, mitoto yangu yote dume.
Ni kuwajengea mazingira ya uwazi wa kuongea lolote na wazazi
mara moja moja unakaa na kuwapa real life experiences kwa simulizi.

kwani hao madume wanaoa madume mengine si watarudi huko kwa wasichana lol wakwe zako nao ni wanawake hujui watakuaje maybe wauza vocha.:A S kiss:
 
1.Mshahara duni.
2.Kodi kubwa!
3.Mfumko wa Bei mkali ni PIGO kwa msichana yeyote!

sasa na wale akina dada wanaofanya kazi kwenye makampuni makubwa wanalipwa zaidi ya shs million 10 kwa mwezi na bado wanakitembeza huko nje na waarabu au vigogo wa hii nchi..hao nao utawatetea vipi...
 
Rose baby wewe haupo hivo, wewe ni wale 7 kati ya 50 waliotulia.

umenena vyema
bt still wbu weka neno baadhi..cz si kweli wote wapo ivo swt at....au dhamira yako ni KUTUSI WANAWAKE WOTE?if so poa go ahead bt mungu apend kuhukumu ivyo mwenye kosa na asiye na kosa.

mi thitak.
 
sasa na wale akina dada wanaofanya kazi kwenye makampuni makubwa wanalipwa zaidi ya shs million 10 kwa mwezi na bado wanakitembeza huko nje na waarabu au vigogo wa hii nchi..hao nao utawatetea vipi...

apo chachaaaaaaaaaaaaa...namsaidia kujibu;HAO INAKUWA HOBI..au wengine wana wadudu...wanapenda tu makongosho 24/7
 
pokea tripple like asee.
Anafikiri kulala na wanawake wengi ni sifa.

Sioni utofauti kati yako wewe unayelala na wanawake wengi na mwanamke anayelala na wanaume wengi.
 
umenena vyema
bt still wbu weka neno baadhi..cz si kweli wote wapo ivo swt at....au dhamira yako ni KUTUSI WANAWAKE WOTE?if so poa go ahead bt mungu apend kuhukumu ivyo mwenye kosa na asiye na kosa.

mi thitak.

usijali baby, sitarudia kosa. Hebu naomba nisaidie juwajibu hao wengine hawajanielewa na mimi historia yangu nikimuelewesha memba hadi nipate ban!
 
Hata wewe unaewaramba on first date una elements kama za hao unaowasema. Inabidi na wewe tukuseme
 
kamanda mie nimepona hicho kisu, mitoto yangu yote dume.
Ni kuwajengea mazingira ya uwazi wa kuongea lolote na wazazi
mara moja moja unakaa na kuwapa real life experiences kwa simulizi.

mhh dont celebrate my dear...uenda msichana akawa katulia na kufanikiwa kimasomo na kimaisha mpk ukashangaa na wa kiume AKAJA KUWA STUBON ...AKAWA SHOGA...dunia ina meng..walimwengu wamechafuka kaka..so dont say UMEEPUKA KISU KISA UMEZAA WA KIUME AS IF UKIWA NA WATOTO WA KIKE BASI NI MZIGO/SHUGHULI.... cz anythng can happen

nakuombea watoto wako wakue vyema na wakupe faraja uitarajiayo...
 
pokea tripple like asee.
Anafikiri kulala na wanawake wengi ni sifa.

Sioni utofauti kati yako wewe unayelala na wanawake wengi na mwanamke anayelala na wanaume wengi.

kamanda wewe kama una mawazo hayo basi utakua sio riziki. Una hakika mwanaume anae lala na wanawake wengi sawa na vice versa? Huu utani sasa!
 
madada, mmezidi..yaani mpaka naogopa sasa kutongoza maana hakuna hapana..ukichat nae anakupa namba ya simu..mara ukimpigia oohh hatukaribishani..akija geto anamtundika..mara nitumie hela na tigo pesa..ili mradi kero tu..watu kugeuzana ATM hapa mjini mradi matatizo tu..ukienda mahala regularly wanaanza mazoea..yanai mpaka wanagombania kukuhudumia..unaanza kuwachapa weee hadi inanipa wasiwasi..ukimwambia mambo poa, nipe simu yako poa..njoo mahali flani..nakuja...DUUUHH..natamani kupigwa kibuti mwaka huu..
 
Hata wewe unaewaramba on first date una elements kama za hao unaowasema. Inabidi na wewe tukuseme

umenikunaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa jamana dah

ujinga wa bnadamu bwana yaan yeye haoni km anakosa kulala nae wthn a day yeye anaona mwanamke ndo anamakosa kumkubalia kumpa siku iyo iyo dahh....yaan mentality mgandoooooo ..MWANAMKE NDO MAKOSA ALWAYS YE HAON KOSA LAKE APO....ningekuwa na nguvu mimi ningewachapa watu km awa ahh bas tu:disapointed:
 
Hata wewe unaewaramba on first date una elements kama za hao unaowasema. Inabidi na wewe tukuseme

kamanda nature was meant sie wanaume tutongoze. Nia ya kutongoza ni kua kulala nae ama kua nae. Inapotokea siku ya kwanza umemjaribu na kakubali hulazi damu ila hurudi nyuma tena!
 
km ukia plly iyo methali so to say WANAUME WOTE MASHOGA?
CZ KUNA SHOGA MMOJA MTAANI KWETU SO NIWAONE WANAUME WOTE MABWABWA?

plsss doooooooooont use t..:wave:
sawa ila mkuu ameangalia asilimia kubwa wengi wao ni vimeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…