Dada zetu acheni kulia lia! Mnajirahisi hadi kichefu chefu



we ujaona pia una makosa km yao?
that we pia ni kicheche km wao so mmekutana muuza na mnunuaji?

sa iweje umnyoshee kidole mwanamke peke yake?
au kwako poa..imeandikwa MWANAUME ANARUHUSIWA KUWA KM MBWA?POPOTE ANAKOJOA?
MJIPANGE ...reptilia nyieeeeeeee
 


Rose baby ndio mana nasema wewe ndio wale waliotulia. Kuna mapungufu lakini, hawana mama. Utapenda kuwa mama yao mdogo tuwakuze wote?
 
kamanda nature was meant sie wanaume tutongoze. Nia ya kutongoza ni kua kulala nae ama kua nae. Inapotokea siku ya kwanza umemjaribu na kakubali hulazi damu ila hurudi nyuma tena!

KUTONGOZA NA KULALA NA KILA MWANAMKE ANAYEKUKUBALIWA UNAPOMTONGOZA NI VTU VWILI TOFAUTI.

mwanaume anayetongoza kila sket inayopta mbele yake pia ni kicheche tu
na hiyo mpo titled kutongoza enn HAKI IYO IMEANDIKWA WAP?
IN UNI DECLARATION OF HUMAN RIGHT?
KWENYE BIBLE?

acha kamba...anayetongoza ovyo na anayegawa ovyo wote sawasawa:A S-fire1:
 

yaan mi hapo ndo ninapochoka!wao kubadilisha wanawake wanaona masifa kweli..kunya anye kuku akinya bata kaharisha..tena unakuta mwanaume mzima anajisifia kubadilisha wanawake ptuuu!!
 
Rose baby ndio mana nasema wewe ndio wale waliotulia. Kuna mapungufu lakini, hawana mama. Utapenda kuwa mama yao mdogo tuwakuze wote?


ok.na mimi ninao 7 kila mmoja na babayao so poa....tutawalea kwa pamoja...ahh noooooooooooo nimegoma..naogopa kukubalia kilahisi utaniona namna gan vp...stakkkk....nooooooo:car: naendelea na safar nkatongozwe mbele
 
yaan mi hapo ndo ninapochoka!wao kubadilisha wanawake wanaona masifa kweli..kunya anye kuku akinya bata kaharisha..tena unakuta mwanaume mzima anajisifia kubadilisha wanawake ptuuu!!


awa dawa yao ni kuwakeketa tu baaaaaas wataacha ubaguzi na udhalilishaji wao :disapointed:
 

Aiseee hivi kutoa contacts ndio kujirahisisha???!!!! maana mie contacts zangu namwaga tu hadharani hata wewe naweza kukupa halafu njoo na ***** wako ndio utajua kama najirahisisha.
 
usijali baby, sitarudia kosa. Hebu naomba nisaidie juwajibu hao wengine hawajanielewa na mimi historia yangu nikimuelewesha memba hadi nipate ban!



hahh haahah ....lazima utupie KALUGHA KAZITO PALE KAT?

ahh kwa thread km izi naisi watu wanantafutiaga ban na mie...
 
....we ulomtokea 1st day na ukafanya nae siku hiyohiyo upo sawa?huna kosa?
ndo zenu hizo huna tofauti na anaepaza sauti kulalamika wanawake wanajiuza wakati MNUNUZI NI MWANAUME.aaagggggrrrrr
 
....we ulomtokea 1st day na ukafanya nae siku hiyohiyo upo sawa?huna kosa?
ndo zenu hizo huna tofauti na anaepaza sauti kulalamika wanawake wanajiuza wakati MNUNUZI NI MWANAUME.aaagggggrrrrr

yaan shost mi nachoka kabssaaaaaaaaa.....wanaume kujihesabia haki awajambo...ndo mana ata wakitoka nje ya ndoa ata siku moja awez kukubali kuwa makosa yake daily utasikia ..MWANAMKE NDO KANSABABISHIA NTOKE NJE ahhh ukiuliza y n how atakujibu ahh mwanamke gan kila siku anakuomba ela...dahh yaaan SWALI NA JIBU WALA HAVIKUTAN ATA UGANDISHE NA GLUE.....wana matatizo awa jombaaaaaaaaaaaa zetu
 

Hapo kwenye red hapo naona nna tatizo napo.....hivi kwa akili zenu mtu akikupa namba ya simu ndio anataka m-DO???!!!daaahhhh au nyie kila anaewapa namba mnaishia kuwa-DO maana sio bure!na kama ni hivyo basi inasikitisha sana.
Mie kitu cha kwanza kuepuka usumbufu au maongezi kwa muda huo unaonisumbua ni kutoa namba yangu ili usepe fastaaa halafu kinachofuatia utakijua utakapoamua kunipigia......unless niwe nimekupa hiyo namba willingly hapo nitakua mstaarabu sana tuuu.
 
Rose inaonekana imekukera, ila usiiumie moyo lisemwalo lipo na kama hujaliona lipo karibu, ila mimi siwezi kwa sababu mi ni domo zege ambalo limegundikwa na super glue kabisa
 
:help::help::A S-key: Kwa hili suala elimu ya kujitambua lazima ipewe mkazo kwa jamii nzima ili kukinusuru kizazi kijacho. Wadada
wengi ni kweli wageza miili yao kuwa mitaji ya kuanzia maisha, mmmmh eti nimegraduate mwakajana lakini
nafanya hii kazi kwa mda ili nipate mtaji wa kuanzisha biashara yangu........... lakini mwishowe inageuka kuwa tabia ya mtu hata akija tulia kwenye ndoa. Kazi kwelikweli......... Lakini na sie wanaume let us take action to stop this kwa kutoendekeza akina dadapoa!:tape::tape::wave:
 
asilimia kubwa kutoka kwenye namba ipi?
yawezekana mkuu anatembelea sana mitaa ya manzese, uwanja wa fisi na sehemu nyingine kama hizo thats why namba yao ni kubwa
 
mkuu inabidi usipecify kwanza type ya hawa wanawake na sehemu unakowapata maana sasa scientific data zinahitajika hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…