Dada zetu acheni kuvaa nguo nyepesi bila chupi

carnte

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2017
Posts
362
Reaction score
425
Jamani hili halipo kwa ma barmaid au Dada zetu wanaotoka familia duni. Lipo kwa Dada zetu hasa wanaofanya kazi katika makampuni makubwa na wana nafasi ambazo pasi shaka zinawaingizia kipato kikubwa.

Ajabu zaidi wengi wapo katika ndoa zao. Tulivumilia Nguo fupi sasa imekua too much, wanavaa nguo nyepesi tena zinazosadifu kabisa ndani hawajavaa chochote.

Mbaya zaidi baadhi ya hawa Dada zetu wajawazito, mpaka mnafanya tutake kuwashushia hadhi mama zetu.

Sio kila kitu ni cha kuiga, huo ni ushamba mkubwa
 
Uko Kwenye Mwendo Kasi Mmebanana, Mbele Yako Yuko Dada Ana Lumbesa La Haja, Ndani Kitivazi Hamna, Mnagusana Gusana Kuanzia Kimara. Kufika Korogwe Annaji Position Kiasi Kwamba Dushe Lako Linamgusa Kwenye Mstari Pendwa, Anakukatikia Kiuno Kimtindo, Anakuangalia Kimahaba, Anatabasamu Huku Akikwambia U R So Sweet And Sexy, I Want 2 Love U Foreva, Raha Inanoga, Mara Alarm Clock Inalia Na Kukuamsha Usingizini
 
Hapo ndo utajua Kwann burger haziko Tandale kwa tumbo[emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bujibuji
 
Dunia ya ushindani hii mkuu, wanaume ni wachache. Sasa jitihada za ziada zinahitajika na mbinu ndio hizo. Sema ni ulimbukeni/ umbulula unakuta mdada nguo ya kwendea disco amevaa anaenda nayo kazini. Mnatutesa, mnatufanya tutende dhambi ya kutamani hivi hivi.
 
Wanaume Wameisha, Kwenye Wanaume 10, 2 Ni Marijali, 2 Mahanithi, 2 Mashoga, 2 Wana Low Sperm Count, 1 Ana Jinsia Mbili Na Mmoja Kabadilisha Jinsia Yake
 


HAHAHAHHAHAHAHAHHAHAHAHAHHAHAHA BUJIIIIII BUJIIIIIII
 
Wanaume Wameisha, Kwenye Wanaume 10, 2 Ni Marijali, 2 Mahanithi, 2 Mashoga, 2 Wana Low Sperm Count, 1 Ana Jinsia Mbili Na Mmoja Kabadilisha Jinsia Yake
Duh hii takwimu ya kikuda .
*****
 
Uwe unatazamaga pembeni haloo, sio kukazia macho miili ya watu
 
waache iyo ndio fahari ya macho sasa KUONA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…