Dada zetu kuweni makini na madanga mnayopata sehemu za starehe

Polisi wetu kama wangewekeza kwenye maeneo yote ya uchunguzi kikamilifu wanaweza kuifanya kazi hiyo vizuri kabisa. tatizo wanaishia kupata mafunzo kwa gharama kubwa lakini linapokuja suala la kwenda kufanya kazi yenyewe ni shida.
Tuje kujaribu kuwafanya kuwa huru bila maelekezo na kuwezesha vitengo utaona kazi yao.
 
Inawezekana baada yakulegezwa na madawa ya kulevya hizo process nyingine zote zilifuata akiwa hajitambui (yaani kupimwa, na kutolewa kitaalam) af ndio wakamtupa.
 

Uko outdated sana mkuu…una uhakika gani waliofanya hivyo sio professional?? Then kama nia ilikua ni kupandikiza unafikiri huyo mtu alikurupuka kuteka na kuchukua figo za huyo dadaa obviously alijipanga…..sihisi kama kuna ugumu wa kupandikiza kama kila kitu kilishakua arranged…boss hatuoni hata kwenye movies aisee vitu kama hivyo??? Icho kitu kinawezekana issue ni kujipanga tu japo hatuna uhakika figo za huyo dada zimetumiwa vipi
 
Picha ihusike jaman maana mjini apa unaweza kuta mtu unamjua kwa sura ila ndio hvyo jina lake hulijui
 
daaah kabisa, na wala hawajifunzi, na ndiyo wanazidi kutetea
Haya mambo tumekuwa tukiyasikia huko Philippines,Eastern Europe etc
Kna organise crime wao hudeal na maungo ya wanadam
Sasa kama mambo kama haya yanafanyika bongo na wadada zetu sahv tamaa mbele
Basi watakwisha

Ova
 
Kijana Kupandikiza Figo tanzania tu Madoctor wa Bongo wana assist aisee hakuna kitu wanafanya wenyewe... wale wazungu wasipokuja process haiendi

huwezi kufanya hiyo kazi na madaktari wawili ndugu. hiyo procedure yenyewe inahusisha ubobezi mchanganyiko, sasa utawapata wapi madaktari na wahudumu wengine wasiopungua 20 na wote wakawa wa mchongo!!!
 
Na thread ungeifuta tu Sasa picha ina ubaya gani?
 
Mkuu Unaongea as if kupandikiza Figo ni kama kupanda nyanya.. Mamjuii nini mnaongeaaa..!! Its not simple kama mnavyofikirii
 
huwezi kufanya hiyo kazi na madaktari wawili ndugu. hiyo procedure yenyewe inahusisha ubobezi mchanganyiko, sasa utawapata wapi madaktari na wahudumu wengine wasiopungua 20 na wote wakawa wa mchongo!!!
Watu wanadhani Hii procedure nia simple kama awanavyosemaa...!! Huwezi pata wasomi wakufanya huo Uhuniiii.


Figo mpaka inapandikizwa huwa vinafanyiaka Vipimo vingi sana ikiwepo Compartibility test ianyohusisha vitu vingi hasa Blood group sana.. Sasa huyu baba wamekutana leo Bar alijuaje figo za huyu dada zitakua compartible..!! Pia process nzima huwa ni complicated sana Watu wanaongea hapa as if ni kupanda maharage.. Ujinga mtupu
 
Dah kumbe unaweza ukawagegeda alafu baadae ukawaua na kichukia figo unapiga bei.
sio bure, wewe ni psychopath 100%.
nashauri maafisa vipenyo mliojipenyeza hapa JF, tumieni maarifa yenu kumfatilia muhusika wa hii ID. atawasaidia kubaini baadhi ya vitu.
 
Watu professional au wew unasema watu wenye Hela???? Kuna msemo unasemaga hela sio kila kitu ndo hapa sasa... Hapa ni ushirikina tu hakuna cha maana
Tafuta makala uisome
Kedney pirates,organised crime&health care

Kuna mamimilion&matajiri ya watu wanatafuta mafigo mzee huko duniani
Hii ni biashara mtandao unahusisha wataalam etc

Kungoa figo kwao siyo issue, si washajipanga

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…