Dada zetu kuweni makini na madanga mnayopata sehemu za starehe

Hakuna daktari wa aina hiyo. Huyo ni muhuni tu. Kazi ya udaktari ina maadili yake. Ikifika daktari akafanya hivyo, huo mwisho wa dunia sasa. Halafu kabla ya kumtoa figo wanaangalia kama vinasaba vya mtoaji na mpokeaji ni sawa. Ndio maana watoaji wengi ni wana ukoo - mtoto anamtolea baba ama mama, kaka anamtolea kaka, nk. Siyo kila figo inafaa kwa kila mtu. Hauwezi tu kwenda bar ukamkata mtu, ukatoa figo ukampelekea mtu wako.
mkuu kuna hospital kubwa tu hapa town wanafanya hii michezo ila legally ila sio legal kiviiiile yani wanawanunua watu wanaotaka kuuza figo usikute daktari kapewa mtonyo kaifanya ishu kitaalam kabisa
 
Waende muhimbili wafatilie wagonjwa walio badilishwa figo ndani ya masaa 72 kutokea siku ya tukio..

Kwenye hao wagonjwa wote wanatakiwa waseme walipotoa hizo figo walizowekewa.
Nisinge amini kama hii ni home of great thinker kama nisingeona hii comment
 
Hii kitu ipo hasa kule kwa wahindi kuna jamii kila mwanakijiji ana mshono,wapo wanaotoa kwa hiari kupata pesa wapo wanaotekwa na kuibiwa figo na kujikuta wameamka mitaan. Bongo hili jambo linaweza kuwa geni au linafanyika na takwimu zinafichwa
 
wanatoa inakuwa na size inaweza kufit kwa yeyote mbona hata nguo wauza kwa size tofauti ila kuna mtu itamfaa tu atanunua
 
Figo siyo nguo. Na madaktari siyo wauza mitumba. Unajua kuna hospitali ngapi Tanzania nzima zenye uwezo wa kufanya hiyo operation? Ama unafikiri ni operation ya kufanyika vichochororoni?

hizo mambo nje mpaka baadhi ya visiwa huko thailand ni kawaida usidhani hakuna wataalamu kwani aliyemchukua huyu dada ni daktari anayejulikana bongo kuna wathailand, wachina ,mpaka waarabu wanaofanya biashara nying
 
Figo ni dili ,huko ughaibuni.sio wa dada tu,hata ss me,umakinibunatakiwa unapokula moja Moto,moja baridi ,msifakamie watu,kuwa mwaminifu ,kula gambe kiuaminifu. bia huwa tamu pale mnapokunywa na washkaji meza imejaa vinywaji ,halafu stori za kupeana michongo ya maisha ,na vituko vya hapa na pale,yaani unakuwa ameizingi Sana!!
 
Haujui unachoongea. Figo ya mtu kuwekewa siyo kama unavyotoa ya mbuzi ya kwenda kupika. Ndugu zake wamesema hakufia guest wala hajatolewa figo. Nyie mmekazania figo figo... Mnapenda sana umbea.
hizo mambo nje mpaka baadhi ya visiwa huko thailand ni kawaida usidhani hakuna wataalamu kwani aliyemchukua huyu dada ni daktari anayejulikana bongo kuna wathailand, wachina ,mpaka waarabu wanaofanya biashara nying
 
Eti nikaenda chooni kurudi nkakuta hawapo ..uwongo kabisa..Rafiki yako anaweza akaacha vinywaji mezani haupo akaondoka? Sema alimpenda rafiki yangu wakaafikiana Bei wakaondoka kwenda kuburudika.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nami naitilia shaka hii statement.
Halafu eti akasubiri bila kutoa taarifa for 4 days.
Wambane huyu, anahusika.
 
Dah ume omit sana mkuu we got options za kuhifadhi nyingi [SCS ata OP] zipo za short time 4_6 hrs na long time 24_36 hrs pia tuna cadaveric renal transplant

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…