namanga-kitonga
JF-Expert Member
- Feb 4, 2020
- 679
- 744
Umeongea pointi sana. Wazo hili likifanyiwa kazi huenda mtu akadakwa na sheria kuchukua mkono wake.Waende muhimbili wafatilie wagonjwa walio badilishwa figo ndani ya masaa 72 kutokea siku ya tukio..
Kwenye hao wagonjwa wote wanatakiwa waseme walipotoa hizo figo walizowekewa.
Kiuhalisia hata Dada zetu siku hizi wamekosa ubinadam hela kwao ni Kitu muhimu kuliko ubinadam . Umetongozwa Leo Leo unaanza kuomba hela ya saloon, hela ya Kodi , Leo Leo unaugua . Kwahiyo haya ni matokeo ya kudangaR.I.P[emoji24][emoji24] inasikitisha sana
Huyu msichana anaitwa Barke, ameuliwa kifo kibaya sana anaishi llala mtaa wa utete na Pangani.
Inasemekana siku ya tukio tatehe 31, walichukuana na mwenzake wakaenda Tabata (Kitambaa cheupe) kwenye starehe zao huku wanakunywa akiwa na mwenzake na mbaba waliyempata hukohuko (Danga).
Sasa yule mwenzie na marehemu Barke akaenda chooni, anarudi anakuta mwenzie hayupo pale walipokuwa wamekaa anamuangalia hamuoni, anampigia Barke simu imezimwa, siku nne mfululizo. Sasa msichana inabidi ahadithie kwao kuwa nimetoka na Barke na ninampigia simu hapatikani siku ya nne sasa simuoni na nyumbani kwake hayupo. Wakaenda police na taratibu za kumtafuta zikaanza.
Kwenye kumtafuta wakaenda hospitali zote kufika Amana wakaambiwa "Bwana, hapa ililetwa maiti ya mwanamke tarehe 1, baada ya kukaa sana imechukiliwa imepelekwa Muhimbili" ndugu walivyoenda Muhimbili wakautambua mwili wa Barke na walipomchunguza wakakura ametolewa figo.
Pumnzika kwa amani dada inauma sana hii yote inatokana na umasikini kikubwa ni umakini, mtu humjui anaanza kukunywesha pombe kwa kigezo cha danga.
NB: Nimetoa picha baada ya kupata pm za wengi kuwa nifanye hivyo nami nmetoa kulinda faragha ya marehemu ila nmeacha thread kama funzo kwa dada zetu
Ni uzushi,ni kweli aliuliwa lkn hawakumtoa Figo na huyo dada aliyejirekodi kwenye hiyo clip tayari amekamatwaFigo walitoa hospital?
Clip gani au voice noteNi uzushi,ni kweli aliuliwa lkn hawakumtoa Figo na huyo dada aliyejirekodi kwenye hiyo clip tayari amekamatwa
Mzazi wako alifanya kosa kukuacha hai, alitakiwa akugundue mapema mno kuwa kazaa mpuuzi, na akumalize kimya kimya kimafia. Anyway ana hasara sana, huruma yake inaweza kumponza.U r very ryt maneno huumba definately mzazi akozingua naye tunamtaguliza six feet under
Wanyakuzi? Ni akina nani hao?[emoji23][emoji23]Naona unaongea tu masuala ya kutoa uhai kwa kujiamini, wanyakuzi wanakusoma tu, ukiwapa sababu ya kukunyakua max hataweza kukusaidia. Uzuri wa wanyakuzi wana subira sana, taratiibu mpaka unyakuo unakufikia. Endelea.
Labda ulimnunulia ila hayakuwa makubaliano akupe mwili wake, ulifanya kama msaada tu. Usimlaumu, siku nyingine jifunze kuwa muwazi na 'clear and short'Kuna demu nilimpa offer mahala, akapiga mtungi katumia hela zangu (siri yangu) halafu ananiambia ana njaa, nikamwambia aagize msosi akaagiza kuku mzima....at the end kapotea, sasa kama huyu siku siunajilengesha kwake unampiga mtungi kidogo na nusu kaputi kidogo akizima tu, unawapelekea jamaa kujilipa gharama zako..... "If somebody did a good thing for you, its better doing the same..." umenunuliwa mipombe na kula minyama ya bure baada ya wewe nawe kwenda kutoa burudani unakimbia, siku nyingine ukitolewa figo utamlaumu nani?
Uzuri wa maisha ndio hivyo kama kubet vile unamatumaini mtoto atakuwa rais but unapata mtoto shoga 🤣🤣🤣🤣🤣Mzazi wako alifanya kosa kukuacha hai, alitakiwa akugundue mapema mno kuwa kazaa mpuuzi, na akumalize kimya kimya kimafia. Anyway ana hasara sana, huruma yake inaweza kumponza.
Unahisi kwanini inatokea hivyoHivi kwa nini watu wengine wanakufa vifo vya maumivu sana, kuuliwa, Kansa etc. na wengine wanalala tu usiku unasikia wamekufa?
Nimeipenda hii, ni kweli walikuwa wachokozi, na walistahili. Walikuwa na kila sababu ya kuadhibiwa.kiwango cha tolerance binadamu na binadamu kinatofautiana, wapo binadamu wengi ni wema ila unyama waliofanyiwa ndio huwafanya nao kuwa wanyama ili waweze kusurvive...
Issue sio hela zilizotumika kunywa pombe na chakula, issue ni dharau ya kiwango cha juu na kukiuka makubaliano... angeweza tu kukataa pia na mhusika angetafuta utaratibu mwingine..
Dunia ni sehemu salama sana, ila wanadamu ndio wanaifanya isiwe salama kwa matendo yao.. Japs walimchokoza USA mpaka kiwango cha juu cha tolerance ya USA leo hii Japs wamepata funzo zuri na wanaishi kwa busara..
Umekosea, KAMA WALIKUBALIANA NA AKAKIMBIA, ALIKIUKA MAKUBALIANO, HIVYO NI MHAINI NA MSALITI, SITAKI KUTAJA ADHABU KWA KIWANGO HIKI KIKUBWA CHA USALITI, ADHABU IPO WAZI.Na wewe badilisha uchaguzii wa wanawake. Mwanamke anakula kuku mzima anaweza akakupiga usipompa ujira wake asubuhi.
Lakini pia sio kila ukimkarimu Mwanamke basi akurudishie ngono, inawezekana hakua tayari ndo maana alikukimbia.
Hii Biashara kuna wageni wanafanya haya madudu na kuzipeleka nje kuuzwa it is Organized Crime syndicate sio raisi kama unavyofikiriaWaende muhimbili wafatilie wagonjwa walio badilishwa figo ndani ya masaa 72 kutokea siku ya tukio..
Kwenye hao wagonjwa wote wanatakiwa waseme walipotoa hizo figo walizowekewa.
Anaonekana bado mshamba huyu jamaa, anyway umempa ushauri mzuri.Mkuu usipende kununua mapenzi utafanyiwa sana hayo unayofanyiwa. Wanawake tuna tabia hata kama hakutaki ila chakula chako na pombe atakunywa. Ni bora hizo gharama unazotumia kwa wanawake wasumbufu ukazitumia kwa mwanamke anaekuelewa. Sio kila unaemtaka kwa kutumoa pesa zako atakutaka pia. Tumia pesa zako unapoonyeshwa kukubaliwa
Hapana Sio mshamba ila WADADA WAACHE TAMAA..Anaonekana bado mshamba huyu jamaa, anyway umempa ushauri mzuri.
"Waungwana watakusamehe..."hatununui kabla ya makubaliano, issue inakuja makubaliano yanapokiukwa inakuwa dharau ya kiwango cha juu....waungwana watakusamehe, wasio waungwana lazima wakulie timing ndio hivyo unakuta huna figo....
Hapo nakukubali, umeongea point mno.Mbususu zao sio za bure but wao wanataka wale hela ya mwanaume bure