Dada zetu mnajikuta sana!

Mkuu umeilewa maada[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ndio mkuu nimeelewa! tatizo lako ww usiku unaogopa kutoka nje kwenda chooni hivyo Unakojoa ktk kopo sa hapo inaonyesha mkeo kachoka kumwaga mikojo kila asubuhi that's why anakwambia hivyo
 
Ndio mkuu nimeelewa! tatizo lako ww usiku unaogopa kutoka nje kwenda chooni hivyo Unakojoa ktk kopo sa hapo inaonyesha mkeo kachoka kumwaga mikojo kila asubuhi that's why anakwambia hivyo
Hahahahaaaa mkuu ww unaweza kutoa haja kwenye papuch[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahaaaa nimecheka Mwakajila basi. Jamaa inaelekea uko vizuri sana ktk hii angle !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…