Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
1. Kundi la Dada zetu (diaspora pori) wanapambana huko Arabuni.
2. Nilikua Dubai, Ile kuingia Tinder nakutana na mbongo ila nikajikausha kama sitoki Bongo.
3. Hela ngumu Sana aisee. Wacha wapambane.
NB: wengi Wanakwenda na viza za miezi mitatu ikiisha anakwenda Qatar au Oman kuzuga masaa tu anarudi tena Dubai, UAE.