Dada zetu na biashara za Dubai


mimi nimeuliza siri ya mafanikio nataka nimwambie wife aende dubai lakini lazima nijiridhishe ni biashara gani anaenda kuifanya huko dubai.sasa dada yangu mpenzi kama umewahi kwenda huko nipe uzoefu.
 
Wekeni issue sawa tu, mambo ya mafumbo ni kuingizana mikenge tu,
Wakuu,
Biashara za huko zinahusianisha na kujiuza kimwili pia,
Anaweza kwenda huko na akajikuta anahitaji mzigu mkubwa wakati mfukoni hapatoshi,
Hapo kinachofuata ni kuutumia mwili wake kama mtaji, ninao mfano wa rafiki yangu ambae mkewe anapiga hizo issue,
Kipindi mkewe analetewa na wenzake ndoa ilikua tamu kweli, but soon after mkewe kuanza kusafiri na yeye ndoa ikaanza kua chungu,
Jamaa akaanza kugongewa hata na wafanyabiashara wenzake mkewe kwa makubaliano ya kukopesha mikopo yenye riba nafuu kipindi wakiwa nje,
Watch Out wakuu!!
 
Pasco hebu njoo tuendelee na mjadala kwani sasa utanielewa kwa nini niliuliza swali hili takribani mwaka mmoja na nusu uliopita.
 
Last edited by a moderator:
mmh majanga! mupenzi wangu kaniambia kakutana na mdada mmoja eti ni rafiki wa mama yake mdogo, eti kampenda wawe marafiki. sasa eti kamwambia waende Hong Kong. nahisi anarubuniwa ili akafanyishwe biashara ya ngono kwa faida ya huyo mdada, kama sivyo basi amfanye punda wa kubeba sembe. nimamkatalia kwenda! sasa sijui kama atanisikia.
 
Pasco hebu njoo tuendelee na mjadala kwani sasa utanielewa kwa nini niliuliza swali hili takribani mwaka mmoja na nusu uliopita.
Mkuu Jack, kwa haya matukio ya hivi karibuni, sasa ndio nimeanza kuelewa!. Niliposikia muigizaji fulani wa bongo muvies kanunua nyumba ya milioni 400, magari mawili kila moja milioni 200 na vifaa vya studio, mac piece 6 na Sony edit station nayo jumla milioni 200, total ni bilioni 1!, mwanzo sikuamini!.

Juzi juzi nikasikia story ya kijiweni, mwanamuziki fulani wa bongo fleva ana zaidi ya 1 billion kwenye Account yake pia sikuamini!.

Sasa naamini, na nimeanza kuelewa!.
Kumbe ule msemo wa "get rich or die trying!" ni kweli!.
Nitajifia na umasikini wangu!.
Pasco.
 
Mimi naona ungemtafuta dada mmojawapo aliyefanikiwa na hizo biashara za Dubai umuulize...

wakuu hivi dada zetu wanatumia mbinu gani kufanikiwa katika biashara zao wanazofanya huko Dubai?
 
Nimeshuudia dada zetu ambao ni wasanii maharufu wakijiuza mambele. Kuna mmoja kumpata ilikuwa dollar 1000 kwa siku cha ajabu waarabu utoa ata dollar 5000 ukitoa huduma ya kufa mtu.
msione watu wana pesa. Zimetafutwa kwa shida sana
 

Yanayosemwa yapo ndugu yangu, hata ktk radio walishayaongelea kwamba wengi wa wafanyabiashara wa kike, hata wale wanaokwenda kusoma nje(india n.k) they are cheap mpaka kuna maeneo yao kabisaaa ya kupatikana. But whener there is general, lazima tuweke exception
 
i am on another call..................................................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…