Dada Zetu na Lift

kwani huwa unaombwa au unalazimishwa??? Zaidi ya wewe kujishaua ,shombondoa na kujikosha????
Afadhali yangu mie ninayesema, wapo ambao wanawachinja Kimya kimya, Asprin, njoo kaka, mdogo wako natusiwa huku kwa kuongea ukweli
 
Last edited by a moderator:

6 packs utazionaje kwenye gari jamani? mtu amejikalia zake..ndiyo maana nikasisitiza siyo lifti ya mwanaume TU bali hata mwanamke mwenzangu nisiyemjua siwezi kupanda, pia sikulazimishi uamini japo huo ndo msimamo wangu.
 
Lakin Safari Moja huanzisha Nyingine, so lift then next wawezajionea 6 PACKS
 
Lakin Safari Moja huanzisha Nyingine, so lift then next wawezajionea 6 PACKS

Aah bwana we sikuwezi..au hiyo 6 packs unayo ndiyo maana unasisitiza? Hebu jitokeze, simama mbele ya watu..tuzione🙂)

Leo umetoa lifti ngapi?
 
yah....ni kweli......wewe unajua sana.....na ndio wanafanana hivi.........kama kuna anayefanana hivi aniPM......

I have met and exceeded the target....sasa sijui niendelee na PM au nisubiri mpaka mwenyewe kati ya hao aachie ngazi,teh teh teh. Wengine sisi ni kama fisi, tunaenda nyuma nyuma tunategemea ipo siku mkono utaanguka kutoka kwa mtembeaji
 
Ndahani Naona kuna mtu ananisema kimafumbo, ha ha...Ooh mine! 6 packs iliyotulia, mashallah!! nashindwa elezea...

Ila lifti, hapana penda ile kitu..

BelindaJacob, lift wanazishobokea washamba wanaojidanganya eti watoto wa mjini. Wanaishia kutumiwa mpaka wanakuwa used...ntaanza kukimbia asubihi na kunyanyua vyuma vya wastani nijenge six pack ili siku ya siku niwe strong contender...si unajua tena hujafa hujaumbika...what if???!!!
 
Last edited by a moderator:
Aah bwana we sikuwezi..au hiyo 6 packs unayo ndiyo maana unasisitiza? Hebu jitokeze, simama mbele ya watu..tuzione🙂)

Leo umetoa lifti ngapi?
Leo nimetoa lift kwa mtu mmoja tu, Huyo Mdada the way alivyokuwa anaongea, yan vinashabihiana na the way unavyoandika hapa, sasa sijui ni weweeeeee...
 
madem wa kibongo easy sana, wanapenda sana vya bure ukimpa lift umemaliza kazi
 
Afadhali yangu mie ninayesema, wapo ambao wanawachinja Kimya kimya, Asprin, njoo kaka, mdogo wako natusiwa huku kwa kuongea ukweli
Kaka wasikuzengue. Ila ukweli unabakia palepale.... Mdada anapopewa lift na mtu asiyemfahamu, naye akaikubali, bila kujali anaendesha gari yake, ya serikali, shirika la umma au la kanisa/msikiti basi ni uamuzi tu wa dereva akamvue chup.i au asimvue. Lini na wapi pia ni uamuzi wa dereva. Wanaokubishia mkuu Bramo wanajua fika kuwa wanaubishia ukweli wanaoujua. PERIOD!!
 
Last edited by a moderator:
Hao washamba si ndio dada zetu? Basi ushamba wao ndio unawafanya wamegwe siyo? Hoja ya Bramo bado ina mashiko hapa!

madem wa kibongo easy sana, wanapenda sana vya bure ukimpa lift umemaliza kazi
Huyu mdada anaujua ukweli. Bramo njoo pande hii usome kina dada wanaosema ukweli. Kiukweli wadada wote wa JF wanajifanya "watakatifu". Ukiwauliza woooote hakuna atakayekiri alishawahi kucheat..... Sasa ndio ujiulize sisi wanaume tunaocheat huwa tunacheat na madogi au? Manake wanatuhumu kuwa almost 90% ya wanaume ni cheaters.
 
Last edited by a moderator:
Hivi na lift za tukutuku zina matunda haya mazuri?
 
jamani hebu niambieni gari za aina gani ambazo wanawake wanazipenda sana kupewa lift ili na mm ninunue kwasababu kuna kidemu nakitaka

Umeshasema kidem basi hata bajaj chapanda hicho lol
 
6 packs utazionaje kwenye gari jamani? mtu amejikalia zake..ndiyo maana nikasisitiza siyo lifti ya mwanaume TU bali hata mwanamke mwenzangu nisiyemjua siwezi kupanda, pia sikulazimishi uamini japo huo ndo msimamo wangu.

Yani mimi sio lift tu hata zile taxi bubu siwezi kupanda.Bora nichelewe au niminywe kwenye daladala.
 
Kumbe imani yako haba hivo?Niambie lini umenikamata au umeona dalili ya kukuchiti ???? Nitake radhi fasta...la sivyo.....
 
Hi Belly, hebi nipe lift kunako moyo wako, mi ntashuka nikifika
 
Leo nimetoa lift kwa mtu mmoja tu, Huyo Mdada the way alivyokuwa anaongea, yan vinashabihiana na the way unavyoandika hapa, sasa sijui ni weweeeeee...

Umenishtua Bramo, utakuwa ulikuwa unaiwaza hii thread wakati unatoa lifti..siyo mimi kabisa, neva panda lifti za watu! Subiri siku moja ukabwe na wadada majambazi ndiyo utaacha kugawa gawa lifti..uwe mwangalifu!!

Tatizo vitu vingine watu wakisema hapa inakuwa reference kila kukicha yaani wewe si ulifanya hivi nk ndo maana wanawake wengi hawawezi kujishaua wamecheat Kumbukeni nyie wanaume kucheat mnaonekana vidume vitia ila wanawake tunaonekana mal.a.ya, fagio la jiji,utulivu ziro, easy going, gumzo la mtaa you name it.. Sidhani kama ni suala la utakatifu wowote maana hamna mtu perfect na ambae atakuja kuwa hivyo hata siku moja.
Mimi nimewahi kucheat..sirudii tena lakini, ha ha!
 
Last edited by a moderator:
Majaribu haya Ndahani..ni ngumu kupata wanaume kama huyo/wewe, wengi vitambi vilivyosheheni hata kuhema shida!!

Wenye vitambi wanaanza mazoezi uzeeni baada ya kushauriwa na daktari. Ntaacha kutoa majari lakini bado naungana na wewe kabisa...sio kila mwanamke anababaikia usafiri. Wengine wana standard zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…