Dada zetu tamaa mbele

Dada zetu tamaa mbele

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
MKAKA: Mambo.?
MDADA:- Poa
MKAKA: Pandezipi?
MDADA:- Dodoma
MKAKA: Unasoma?
MDADA:- Ndio
MKAKA: Hakika nimeona picture zako vile umedamshi nimetokea kukupenda ghafla!
MDADA:- Una kazi gani?
MKAKA: Me Headmaster wa Igunga secondry school.
MDADA:- Wao upo sahihi kweli kunipenda mie na najisikia faraja kuchart nawe mpenzi mwaamwaaaaa!
MKAKA: Ila mwaka juzi Anko Magu alinitumbua jipu!
MDADA:- Huh! Sorry my best huku niliko me nina mpenzi wangu na nampenda sana!
MKAKA:- Ila mwaka huo nilifanya sana mipango mingi hadi nikahakikisha narudishwa kazini!
MDADA:- Nilikua nakutania tu huyo mpenzi mwenyewe niliachana nae kitambo alikua mjinga mpumbavu asie jielewa.
MKAKA: Ok hata hivyo nilijikuta nikiangukia pua hakuna nilicho ambulia
MDADA:- Ngoja nikuambie ukweli nimeolewa tena kwenye ndoa na nina watoto wawili
MKAKA: Hadi zilipotoka nafas za jeshi ndipo nikaajiliwa huko hivi sasa napata mshahara wangu vizur
MDADA: Ukweli ni hivi miaka mi3 iliyopita tulipata ajari mbaya mume na watoto wote wakafa sasa hivi nipo single😳
 
Mkaka ; lakini mshahara wote unakatwa kutokana na mkopo nilikopa Bank
Mdada ; bada ya mume wangu kufariki na watoto sa iv nna mchumba mpya anataka kunioa
Mkaka ; Ila nimechukua mkopo mwingine mil 100 ndo nipo nazo hapa
Mdada ;Mchumba wangu amekataliwa na wazazi wameniambia Hanifai Mana hata kazi hana nakupenda wewe
Mkaka; Huu ni mkopo wa bosi wangu ameniagiza nipeleke kambini za kazi maalum
Mdada ;Nakupenda tu kama nnavyowapenda watanzania wenzangu wote
Mkaka ;Ila napata marupupu kibao kuliko hata mshahara wangu nishajenga na nina gari
Mdada ; wow baby kwa hiyo tuonane lini ?
Mkaka;...
 
Back
Top Bottom