HUyu mchaga wa wapiHaijalishi kikubwa mangi maeda katupaisha.
Dogo acha umbeaumbea umekimbia faster kugugo. Baba yake mzee Maeda mchaga, mama yake ndio mjapan.HUyu mchaga wa wapi View attachment 3692486
Atakua wa Tarakea huyu.HUyu mchaga wa wapi View attachment 3692486
Sawa ni mchaga 😅Dogo acha umbeaumbea umekimbia faster kugugo. Baba yake mchaga mzee Maeda mama yake ndio mjapan.
Wachagga hadi Japan wapo🤣🤣Ni gemu ya premier league inayoendelea sasa hivi ambapo Mancity ilitangulia kufunga dakika ya 19. Na baadaye dakika 21 huyu kijana mchaga Daezen Maeda kutoka Rombo anayechezea Ipswich kama mshambuliaji kusawazisha.
Safi sana Mangi kutuwak8lisha vema.
Chaliifrancisco hydroxo Castr
adriz
Loose Nut ni mixer ya Mmeru & muiraki.Ni mchaga kabisa loose Nut asije akanipiga
Kuna pesa zetu kwenye hiyo game acha mkuu.Mangi atasawazisha tena believe me.
Wasalimie huko kikatiti.Naarenduuu.... Saitaaa😂😂