Pendragon24
Member
- Aug 8, 2018
- 68
- 97
Kumekuwa na taarifa inayotolewa na baadhi ya wanasiasa na wana harakati kuhusu taarifa mbalimbali za uchaguzi hasa katika hatua hii ya kujiandikisha.
Nimekutana na hii habari huko mitandaoni ikisema daftari la lililotumika kuandikisha watu yamekusanywa na kupelekwa katika ofisi za jiji kinyume na kanuni.
Je hii ni kweli?
Nimekutana na hii habari huko mitandaoni ikisema daftari la lililotumika kuandikisha watu yamekusanywa na kupelekwa katika ofisi za jiji kinyume na kanuni.
Je hii ni kweli?