Dagaa nono wa Mwanza

Joakemie

Member
Joined
Sep 16, 2022
Posts
64
Reaction score
57
Dagaa fresh kabisa toka Mwanza kwa mahitaji ya jumla la Reja reja unapana tupo mbezi goba (kwa ndambi)
Sado 1 tsh 22,000
Sado 2 tsh 42,000
Ndoo kubwa 85,000

Tunasambaza pia kwenye supamarkets na mabucha ( package na Bei tunanegociate)

Pia Kuna size ndogo ya 3,000 na 5,000
Karibu dagaa Nono watamu walioandaliwa vizuri na wakatiwa viungo.
Contact 0715053339 watsap
0682865155
Mikoa yoote tunakutumia kwa uaminifu mkubwa
Karibuni wapendwa tujifaidie dagaa😋
 

Attachments

  • IMG-20221205-WA0018.jpg
    88.3 KB · Views: 23
  • Screenshot_20221205-151350.png
    220.3 KB · Views: 21
  • FB_IMG_1666789194566.jpg
    106.4 KB · Views: 22
  • FB_IMG_1666789211322.jpg
    78.3 KB · Views: 23
  • FB_IMG_1666789204548.jpg
    118.6 KB · Views: 25
Naomba useme wamekaangwa
 
Uaminifu ndio msingi wa mafanikio yako ukiwekeza kwenye uaminifu maisha ni rahisi sana
 
Unapatikana wapi na utaratibu wa malipo ukoje...?
Goba ( kwa ndambi)mbezi dar es salaam
Twaweza kukuletea pia kulingana na ulipo ama tukakuelekeza unapoweza zipata kwa urahisi kwenye baadhi ya mabucha na supamarkets kwa dar na mikoani pia tunakutumia mkuu
0715053339
 
Goba ( kwa ndambi)mbezi dar es salaam
Twaweza kukuletea pia kulingana na ulipo ama tukakuelekeza unapoweza zipata kwa urahisi kwenye baadhi ya mabucha na supamarkets kwa dar na mikoani pia tunakutumia mkuu
0715053339

Kama mtu yupo mkoani utaratibu wa malipo ukoje...?
 
Tatizo kubwa la Wauzaji na waandaaji wa hizi dagaa

Huwa hawawasafishi vizuri, huwaacha na uchafu

Mafuta yatumikayo huwa si masafi

Dagaa hawakauki vizuri hivyo hutoa harufu endapo watakaa muda mrefu


Yakirekebishwa hayo mengine dagaa huwa wazuri sana
 
Kwan we unahitaji wabichi au walio kaangwa me ninauza kauzu wasafi hawana michanga kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…