Chief Masta Member Joined Feb 5, 2022 Posts 11 Reaction score 23 Feb 6, 2022 #1 Kama unahitaji dagaa wa Bukoba (Safi, Ya Jua Moja bila Mchanga) nicheki, kilo moja kwa tsh 5,000 Napokea oda kuanzia kilo 60 na kuendelea, muda wowote nicheki kwa namba yangu 0624200275
Kama unahitaji dagaa wa Bukoba (Safi, Ya Jua Moja bila Mchanga) nicheki, kilo moja kwa tsh 5,000 Napokea oda kuanzia kilo 60 na kuendelea, muda wowote nicheki kwa namba yangu 0624200275
Avriel JF-Expert Member Joined Jun 25, 2017 Posts 4,992 Reaction score 5,456 Feb 6, 2022 #2 Unapatikana mkoa gani?
Medecin Platinum Member Joined Nov 29, 2011 Posts 8,836 Reaction score 24,344 Feb 6, 2022 #3 Naomba niulize kama hutojali, kuna tofauti gani ya dagaa wa bukoba na wa mwanza?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Feb 6, 2022 #4 Ahsante kwa taarifa...
Optimists JF-Expert Member Joined Oct 17, 2021 Posts 467 Reaction score 1,358 Feb 6, 2022 #5 JembeKillo said: Naomba niulize kama hutojali, kuna tofauti gani ya dagaa wa bukoba na wa mwanza? Click to expand... Dagaa wa mwanza ni wadogo wadogo na wanaanikwa kwenye mchanga lakini za bukoba ni kubwa (Nene) na zinaanikwa kwenye nyasi hazina mchanga
JembeKillo said: Naomba niulize kama hutojali, kuna tofauti gani ya dagaa wa bukoba na wa mwanza? Click to expand... Dagaa wa mwanza ni wadogo wadogo na wanaanikwa kwenye mchanga lakini za bukoba ni kubwa (Nene) na zinaanikwa kwenye nyasi hazina mchanga