Dagaa wa Chakula cha kuku

dfreym

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2010
Posts
342
Reaction score
87
Nataka nianze kufuga kuku wa kisasa tatizo nahofia dagaa na upatikanaji wake kwa anayejua ntawapataje kwa bei nafuu, kwa kanda ya ziwa anielekeze tafadhali..
 
Nimeona thread yako ya kuku wa kienyeji,
Unataka fuga wa kisasa na wa kienyeji at the same time?
Ungedeal na aina moja kwanza, ni kaushauri tu, alafu kuhusu kuku wa kienyeji browse kwenye thread ya ujasiriamali utakuta na moja inaongelea huo ufugaji vizuri kabisa, utapata majibu yako,
Goodluck
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…