nyamchicha Senior Member Joined Sep 3, 2012 Posts 192 Reaction score 55 Mar 21, 2013 #1 Salam kwenu jf chef, dagaa wachumv au wanaitwa dagaa wa zanzibar huku maeneo ya kwetu. Namna ya kuwapika tusaidiane mawazo
Salam kwenu jf chef, dagaa wachumv au wanaitwa dagaa wa zanzibar huku maeneo ya kwetu. Namna ya kuwapika tusaidiane mawazo
CHAI CHUNGU JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 7,113 Reaction score 933 Mar 21, 2013 #2 nyamchicha said: Salam kwenu jf chef, dagaa wachumv au wanaitwa dagaa wa zanzibar huku maeneo ya kwetu. Namna ya kuwapika tusaidiane mawazo Click to expand... Maeneo ya kwenu?ndio wapi huko maeneo ya kwenu?
nyamchicha said: Salam kwenu jf chef, dagaa wachumv au wanaitwa dagaa wa zanzibar huku maeneo ya kwetu. Namna ya kuwapika tusaidiane mawazo Click to expand... Maeneo ya kwenu?ndio wapi huko maeneo ya kwenu?
nyamchicha Senior Member Joined Sep 3, 2012 Posts 192 Reaction score 55 Mar 21, 2013 Thread starter #3 CHAI CHUNGU said: Maeneo ya kwenu?ndio wapi huko maeneo ya kwenu? Click to expand... sidhan kama ni muhimu wewe kuyajua. Kama ushawapa dagaa nnaowaongelea shusha maujuziii
CHAI CHUNGU said: Maeneo ya kwenu?ndio wapi huko maeneo ya kwenu? Click to expand... sidhan kama ni muhimu wewe kuyajua. Kama ushawapa dagaa nnaowaongelea shusha maujuziii
Rubi JF-Expert Member Joined Oct 5, 2009 Posts 1,615 Reaction score 331 Mar 22, 2013 #4 CHAI CHUNGU said: Maeneo ya kwenu?ndio wapi huko maeneo ya kwenu? Click to expand... hahaha itakuwa tandale! kama sio mabwepande!
CHAI CHUNGU said: Maeneo ya kwenu?ndio wapi huko maeneo ya kwenu? Click to expand... hahaha itakuwa tandale! kama sio mabwepande!