INAUZWA Dagaa wa kukaanga kutoka Rock City

INAUZWA Dagaa wa kukaanga kutoka Rock City

Kona4

Senior Member
Joined
Nov 1, 2019
Posts
145
Reaction score
247
Hello Wateja wangu

Karibuni katika biashara yangu ya Dagaa wa kukaanga kutoka Jijini Mwanza.

Tunauza dagaa wasafi na walioandaliwa katika mazingira safi.

BEI ZETU

Tunaanzia pakti kwa Tshs elfu 1. (Tazama picha ya packet chini)
Wapo wenye pili na wasio na pilipili

NDOO KUBWA YA LITA 20 (Imepimwa vizuri, Tshs elfu 85>>> 85,000 Tu)

NDOO NDOGO YA LITA 10 (Tshs 40,000)

JE, TUNASAFIRISHAJE KUMFIKIA MTEJA WETU?

Ndugu mteja, kituo chetu cha biashara (hq) ni jiji la mwanza, hivyo wateja wetu wote watasafirishiwa bidhaa kwa njia ya basi mpaka kuwafikia walipo.

Mteja atalipia mzigo wake pamoja na usafiri kisha tunafanya mipango ya usafirishaji wa mzigo.

BIASHARA INAFANYIKA KWA UAMINIFU WA HALI YA JUU SANA.

Unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba

call/whatsapp/text +255683011003

Calls/normal texts

+255762972021


Nitumie ujumbe wa kawaida kama whatsapp ikichelewa kujibiwa
IMG-20191102-WA0037.jpeg
 
Dagaa wako packed katika usafi wa hali ya juu

Vifungashio vyetu viko imara sana

Bei ya pakti ni Tshs elfu 1.

Ukichukua kuanzia pakti 100 unapewa punguzo kubwa!!

Wapo wenye pili pili na wasio na pilipili
Karibuni
IMG-20191102-WA0040.jpeg
 
Dagaa wanapatikana kwa wingi
Mzigo mkubw zaidi utapunguziwa bei

Karibuni sana
IMG_20191009_145132.jpeg
 
Back
Top Bottom