Dagaa wa mwanza.

Dagaa wa mwanza.

Edztty

New Member
Joined
Aug 29, 2019
Posts
1
Reaction score
0
habari zenu wakuu,

Natafuta wateja Wa jumla Wa dagaa wakavu kutoka mwanza nasambaza mikoa mbali mbali nauza kwa keshi nakukabidhi mzigo unanikabidhi pesa karibun Sana.
 
habari zenu wakuu,
Natafuta wateja Wa jumla Wa dagaa wakavu kutoka mwanza nasambaza mikoa mbali mbali nauza kwa keshi nakukabidhi mzigo unanikabidhi pesa karibun Sana.
Unauzaje bei ya jumla?
Unapatikana wap?
Namba ya simu?
Unauza kwa kg au kwa debe?
 
Back
Top Bottom