E Edztty New Member Joined Aug 29, 2019 Posts 1 Reaction score 0 Aug 29, 2019 #1 habari zenu wakuu, Natafuta wateja Wa jumla Wa dagaa wakavu kutoka mwanza nasambaza mikoa mbali mbali nauza kwa keshi nakukabidhi mzigo unanikabidhi pesa karibun Sana.
habari zenu wakuu, Natafuta wateja Wa jumla Wa dagaa wakavu kutoka mwanza nasambaza mikoa mbali mbali nauza kwa keshi nakukabidhi mzigo unanikabidhi pesa karibun Sana.
Shuku_ Senior Member Joined Sep 26, 2019 Posts 174 Reaction score 216 Sep 29, 2019 #3 Edztty said: habari zenu wakuu, Natafuta wateja Wa jumla Wa dagaa wakavu kutoka mwanza nasambaza mikoa mbali mbali nauza kwa keshi nakukabidhi mzigo unanikabidhi pesa karibun Sana. Click to expand... Unauzaje bei ya jumla? Unapatikana wap? Namba ya simu? Unauza kwa kg au kwa debe?
Edztty said: habari zenu wakuu, Natafuta wateja Wa jumla Wa dagaa wakavu kutoka mwanza nasambaza mikoa mbali mbali nauza kwa keshi nakukabidhi mzigo unanikabidhi pesa karibun Sana. Click to expand... Unauzaje bei ya jumla? Unapatikana wap? Namba ya simu? Unauza kwa kg au kwa debe?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Sep 29, 2019 #4 Kila la kheri, ngoja waje... Cc: mahondaw